Kuonyesha Video ( 1 - 25 Katika jumla ya: 1290 )
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Matendo ambayo yanamuudhi Allah kama kufanya shirki na kuabudu moto, na kuitakidi kuwa myoshi ya ubani uapeleka dua kwa Allah.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo ya tano za Uislam, pia ameeleza muda na wakati wa kuhiji, na mwongozo katika kutekeleza ibada hiyo, pia amewatahadharisha mahujaji kuingia katika shirki wakati wa kutembelea mji mtukufu wa Madina.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu malipo makubwa ya mwenye kuswali, kisha amezungumzia madhambi ya mwenye kuacha swala, na ameelezea hukumu za Zaka na Swaumu kwa ufupi.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam nikutekeleza na kufuata sheria ya Allah na yote aliyo kujanayo Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake, na hii ndio maana ya Uislam.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.
2017-04-21
Mada hii ina fuata mada iliyo pita katika kuelezea Ushahidi kuwa Allah yuko mbinguni.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu alipo Allah Mtukufu, kabainisha kuwa yuko mbinguni na amestawi juu ya Arshi yake na hafanani na kiumbe yoyote katika kustawi kwake.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa.
2017-04-21
Mada hii Inakamilisha mada ilio pita pia amebainisha athari za wanao shahidilia kuwa Mtume Muhamad ni Mtume wa Allah.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya shahada ya pili ambayo ni Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah. Maana yake na dalili za uwajibu wa kumfuata Mtume.
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maana ya neno la Tawhiid na Umuhimu wake na matendo yanayo pingana na neno hilo.
2017-04-21
Mada hii inazungumzia umuhimu wa tawhid na nguzo zake
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maana ya Tawhiid na Ibada kisha ameelezea wigo wa Ibada za qauli na vitendo.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuchinja na sharti za mnyama anaefaa kuchinjwa.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Ibada ya kuchinja siku ya Iddi, pia imeelezea wakati na muda wa kuchinja.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hekima ya kutoa zakatul Fitri na anae paswa kutoa zakatul fitri.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Zakatul Fitri, na adabu zake na kiwango chake.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Muda na wakati wa kuanza kuleta takbira za Iddi, na namna ya kuleta takbira.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Adabu za khutba ya Iddi, na taratibu zake kama alivyo fanya Mtume s.a.w.
Go to the Top