Kuonyesha Video ( 51 - 75 Katika jumla ya: 1290 )
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kumfuata Imamu aliyekosea ndani swala na yanayo paswa kufanya.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hali ya Imamu na Maamuma ndani ya Swala na utaratibu wake.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Tahadhari kwa Maamuma juu ya swala la kutofautiana na Imamu katika swala.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Wajuzi na wenye elimu ndio wanao takiwa kusimama nyuma ya Imamu, ili kumkosoa Imamu pindi anapo kosea.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Maneno anayosema Imamu wakati wa kunyoosha swafu za Maamuma wake, na hukumu ya mwenye kuswali peke yake nyuma ya swafu.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Muda anaotakiwa kusimama Maamuma wakati inapo qimiwa swala.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Uimamu kwa Maamuma na namna kuwaswalisha wanaume na wanawake.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hadhi na na nafasi ya Imamu katika Msikiti.
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Imamu ambae Maamuma wake wanamchukia na hawamtaki.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Hukumu ya kuswali swala ya faradhi, pia imezungumzia hatari ya kuichelewesha swala katika wakati wake.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwenyeji kuswali nyuma ya msafiri, pamoja na hukumu mbali mbali za Uimamu.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake, pia imezungumzia stara ya mwanamke ndani na nje ya swala.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Sifa za Imamu, pia imezungumzia hukumu ya kijana mdogo kuswalisha watu.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Allah ameijaalia ardhi yote kuwa twahara kwa Ummati Muhammad (s.a.w), popote ikupatapo swala unaswali, pia imezungumzia mahala na sehem zilizo katazwa kuswali
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Umuhimu wa kusafisha nia wakati wa kutoka nyumbani kwenda Msikitini, pia imezungumzia ubora wa kujiepusha na yale yaliyo katazwa.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa mambo yanayo ruhusiwa na yanayo katazwa kuyafanya Msikitini, pia imeelezea ubora wa Swala ya mwanamke ni
kuswalia nyumbani
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Ubora na fadhila za Msikiti wa Qubaa, pia imeelezea fadhila thawabu anazopata mwenye kujenga Msikiti.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa sababu za mtu kuacha kwenda kuswali Swala ya jamaa ni khofu, maradhi na mvua nk. Pia imeelezea ubora na fadhila za Misikiti, wa kwanza ni Msikiti wa Makkah kisha Msikiti wa Madina.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa adabu za kuingia Msikitini kama livyofundisha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumfuata
Imamu katika hali yoyote uliyomkuta
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Fadhila za kutembea na kwenda kuswali Swala ya jamaa, pia imezungumzia mambo ya kujipamba nayo wakati wa kwenda Msikitini.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Ubora wa kuswali katika swafu ya kwanza upande wa kulia wa Imamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuitikia Amiin.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Ubora wa kunyoosha swafu kama Malaika wanavyo nyoosha swafu mbele ya Mola wao, pia imeelezea ubaya wa swafu ya mwisho kwa wanaume.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Ubora wa swala ya Alfajiri na swala ya Asri, pia imeelezea umuhimu wa swafu ya kwanza katika Swala.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Malipo ya mwenye kuswali Swala ya Afajiri kisha akamtaja Allah mpaka Jua likachoza ni sawa na malipo ya mtu aliyefanya Hijja na Umra.
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Daraja anazopata mwenye kuswali swala ya jamaa, na faida za kuiwahi takbira ya kuhirimia.
Go to the Top