Kuonyesha Video ( 151 - 175 Katika jumla ya: 1290 )
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mawakala wa shetani katika wanadamu, nao niwale wanao wafanyia mipango watu wa maasi ya kuzini na riba na mengineyo, kisha akabainisha kuwa kinga ya dhambi ni tawba
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Khatari ya madhambi, na ametaaja baadhi ya sababu za tawba, kisha akabainisha ahadi ya Shetani ya kuwapoteza wanadamu.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Kwamba Allah anasamehe madhambi yote, kisha ameelezea viziwizi vya tawba, na yanayo mfaa mtu baada ya kufa.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: hali ya Mtume alayhi salaam katika tawba kisha amebainisha sababu za tawba.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za kukubaliwa tawba nikurejesha haki za watu, kisha amebainisha aina ya haki za watu: Heshima za watu au mali zako
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Sharti za tawba yakweli, kisha ameelezea uwajibu wa kushikamana na ibada kwa marais na wafalme na maaskari.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: tiba ya madhambi na maasi katika suratu Tahreem, kisha ameelezea maana ya Tawba na umuhimu wake.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufanya kheri kabla ya muda kumalizika, kisha ameelezea kuwa binadamu na watu ndio kuni za moto wa jahanam.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Uwajibu wa mtu kuiokoa nafsi yake kabla ya watu wengine, kisha imeelezea khasara ya mashekh na walinganiaji wanao khalifu dini siku ya Qiyama.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuulea moyo, na kwamba moyo ndio mashine inayo muendesha mtu, kisha ameelezea malezi katika Suratu Tahriim.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: miongoni mwa tiba ya ususuwavu wa moyo ni kuwa na elimu kisha akabainisha faida za elimu katika uislam
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: miongoni mwa faida ya kumuamini Allah ni kupata utulivu wa moyo, kisha akaelezea faida za kuwa na utulivu.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: tiba ya ususuwavu wa moyo, ikiwemo Kumuamini Allah na daraja za kumuamini Allah, kisha akabainisha kuwa imani ndio msingi wa maisha bora
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: madhara ya kuto kuifuata Quraan pia ameelezea madhara ya kuwazulia watu, na akamalizia kwa kuelezea maana ya kufilisika.
2017-01-21
Malezi ya kiisla katika Quraan amebainisha Asili ya dini ya mwanadamu, kisha amebainisha kuwa Allah hawaongozi watu wauvo.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: neema ya Qur’an na Uharam wa shirki na maana yake kisha akabainisha watu wakwanza kuulizwa siku ya Qiyama.
2017-01-21
Katika malezi ya uislam katika Qurani madhara ya kuwa na moyo mgumu, na ubaya wa kujifananisha na mayahudi, kisha amebainisha sababu ya kuto nufaika na Qur’an.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, kisha akabainisha umuhimu wakuitafuta pepo na kuipa nyongo dunia.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Misingi ya matendo mazuru na masharti ya matendo mema, kisha akabainisha ufupi wa umri wa Ummat Muhamad.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa malezi ya kiislamu katika jamii, pia imezungumzia, lengo la kuumbwa kwa mwanadam na kuletwa duniani.
2016-12-14
Mada hii inazungumzia: Ijue siku aliyo zaliwa Mtume s.a.w na jambo alilokuwa akifanya katika siku hiyo, pia wajue walio anzisha Maulidi.
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Ushahidi kutoka katika vitabu vya mashia ya kwamba wao Mashia ndio waliomua Hussein bin Ally (r.a) Allah awalaani mashie na awaangamize.
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Yaliyojiri baada ya Hussein bin Ally (r.a) kufika Karbala kabla ya kuuliwa mpaka kifo chake.
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Safari ya Hussein bin Ally (r.a) kwenda Iraq iliyopelekea kifo choke, pia imeelezea uzito wa Qadari ya Allah.
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Historia ya chanzo cha kifo cha Hussein bin Ally (r.a), pia imeelezea shari na fitna za Mashia.
Go to the Top