Kuonyesha Video ( 126 - 150 Katika jumla ya: 1290 )
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu Umuhimu wa kushindana katika kufanya khairat na niwajibu kwetu kuacha kwa ajili ya vizazi vyetu Athari njema.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu mifano ya watu walio acha athari njema akiwemo Shekh Muhamad Omar Al Amudy aliye anzisha nidham ya kusoma shule na madrasa islamiya kwa wanafunzi.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu baadhi ya mifano ya watu wema walioacha athari njema kama ShekhAbdallah Farsi Mtunzi wa Tafsiri ya ya Quran Tukufu kwa lugha ya kiswahili.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu ibn umar R.A katika wengi wa kupokea hadithi za mtume na kumfata sunna zake.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu athari za utawala wa Khalifa Abubakr R.a na Makhalifa wengine Allah awaridhie.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu sulhu ya hudeibiya,baada ya kufa kwa Mtume S.a.w na khutba ya Khalifa wa kwanza katika Uislam Abubakr R.a.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu athari ilio patikana kwa waislam baada ya ushindi katika vita vya badr huko madina.
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu kuangalia njia nzuri ya athari kuacha Athari nzuri kama alivyo iacha Mtume s.a.w. na Maswahaba zake r.a.
2017-03-03
Muhadhara kuhusu kusilimu wamagharibi anaelezea sababu ya kuingia wengi katika wanachuoni wa kimagharibi katika Uislam.
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa nne kwamba washirikina wa zama hizi wana shirki kubwa kuliko wa zamani.
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa tatu ambao ni hali ya watu wakati wa kutumwa mtume alayhi salaam.
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Msingi wa kwanza kwamba kuamini Rububiyah hakumfanyi mtu kuwa Muislam, na wa pili, kwamba Maquraishi walikuwa wakiabudu masanamu ili yawakuribishe kwa Allah.
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Umuhimu wa Tawhid na faida zake na umuhimu wa kusoma misingi yake.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Alama za kukubaliwa tawba, kisha amebainisha hali ya malaika katika kuandika mema na maovu kwa mwanadamu.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mwenye kutubiya ana inufaisha nafsi yake, na tawba nisababu ya kupata rizki.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mambo ya wajibu kwa muislam baada ya kufanya tawba, kisha imebainisha kuwa Allah anafurahi tawba ya mja na anaikubali.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: kwamba mwenye kutubia Allah anabadilisha maovu yake kuwa mema, kisha ameelezea khatari ya madhambi makubwa.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Matunda ya tawba, na ameeleza kuwa tawba nisababu ya mafanikio katika dunia na akhera.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: namna walivyo tubiya mitume wa Allah kama nabii Yunus alayhi salaam, kisha akabainisha kuwa mja kuacha kutubiya ni kuidhulumu nafsi yake.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: kuwa bawba ni njia ya Mitume, kisha amebainisha kuwa uadui wa Shetani na mwanadamu ulianza tangu kwa Adamu alayhi salaam.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: katika malezi ya qur’an nikutend yale yanayo mridhisha Allah, kisha amebainisha kwamba mtu atafufuliwa na Yule anae mpenda.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: sababu za kuingia peponi, kisha amebainisha uwajibu wa kusambaza elimu na kubainisha haki.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: nivipi mja atamshukuru Mola wake, na nivipi motto atawashukuru watoto wake, kisha akabainisha sifa ya mtume katika kumshukuru Mola wake.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: sababu za tawba, katika hizo sababu: ni kwasababu Allah ni mwingi wa kukubali tawba, na kwakuwa Mtume anaitwa mtume wa tawba, kisha akabainisha maana ya mnafiki.
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Khatari ya kughafilika, na hali za watu katika hali ya kughafilika, kisha akabainisha kuwa akhera nibora kuliko dunia.
Go to the Top