Kuonyesha Video ( 76 - 100 Katika jumla ya: 1290 )
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 108(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa faida ya Swala ya jamaa ni mafunzo kwa yule asiyejua baadhi ya vitendo vya Swala, na usawa unaopatikana ndani yake baina ya tajiri na masikini n.k.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 107(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Makosa ya baadhi ya watu kutoka Msikitini baada ya Adhana, pia imezungumzia kua swala ya jamaa nisababu ya kuleta umoja katika uislam.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 106(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Kisa cha kipofu Abdillahi bin Ummi Maktum na hukumu zinazo tolewa katika hadithi hiyo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 105(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa dalili zinazoonyesha uwajibu wa swala ya jamaa, pia imezungumzia hatari ya kupuuza swala ya jamaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 104(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Kauli za Wanachuoni juu ya umuhimu na uwajibu wa Swala ya jamaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 103(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Nyakati tano zilizo katazwa kufanya ibada ndani yake, pia imezungumzia hukumu ya mtu aliyepitwa na swala kwa kusahau au kulala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 102(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kushukuru (Sijdatu shukri) na wakati gani wa kusujudu sijda hiyo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 101(Kiswahili)
2017-03-26
Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kisomo (sijdatu tilaawah) na namna ya kusujudu Sijda ya hiyo ndani ya swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 100(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Swala za Sunna zilizo za sababu na nyakati zake, pia imeelezea sijida ya kisomo (sijidatu tilawa) na umuhimu wake
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 099(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Nafasi ya Swala katika Uislamu, pia imeeleze umuhimu wa kuchunga masharti na wajibati katika swala
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 098(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Aina pamoja na mgawanyiko wa swala za Sunna, imeelezea swala za Sunna zilizo za sababu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 097(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Kushiba sana usiku ni katika sababu zenye kumfanya mtu kushindwa kuamka kuswali (Qiyamu layli), pia imezungumzia swala za usiku zinampandisha mja daraja
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 096(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayosaidia kuamka kuswali usiku ni mtu kulala akiwa twahara, au kulala na udhu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 095(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Mambo matano ya kuzingatia ukiwa hapa duniani, pia imeelezea umuhimu wa kuipa nyongo dunia
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 094(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuitumia fursa na afya katika kufanya ibada kwa ajili ya Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 093(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah, pia imeelezea hatari ya kuzama katika maovu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 092(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kupunguza mipango na kufanya bidii ya kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea ubora wa kukumbuka kifo
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 091(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Baadhi ya mambo yanayompelekea mtu kuwa na moyo wa kuswali usiku, pia imeelezea aina ya ndoto zenye faida
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 090(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Mambo anayotakiwa kuyajua mwenye kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea wanaoswali usiku ni vipenzi wa Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 089(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Namna ya kusoma Qur’an katika swala za usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea umuhimu wa kusujudu kwa ajili ya Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 088(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa adabu za swala za usiku ni kulala mapema, pia imeelezea umuhimu wa kuwaamsha ndugu na jamaa katika swala za usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 087(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Muda ulio bora kwa swala za usiku (Qiyamu layli), pia imezungumzia adabu za swala ya usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 086(Kiswahili)
2017-03-22
Mada hii inazungumzia: Malipo ya mwenye kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea kushuka kwa Allah katika nusu ya mwisho ya usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 085(Kiswahili)
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Swala za usiku (Qiyamu layli) ni utukufu kwa muumini, pia imeelezea umuhimu na ubora wa kusoma Qur’an
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 084(Kiswahili)
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Daraja la watu wenye kuitikia wito wa Allah, pia imeelezea umuhimu wa kufuata sunna na hatari ya bid’a (uzushi)