Kuonyesha Video ( 1051 - 1075 Katika jumla ya: 1290 )
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kutimiza lengo la ndoa na umuhimu wa wanawake wa kiislamu kumuiga Mama Aisha (r.a), pia imezungumzia umuhimu wa subra kwa wana ndoa.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kufanya uadilifu ndani ya ndoa na namna Aisha (r.a) alivyojifakharisha kwa Mtume (s.a.w) wakati wa uhai wake na kabla ya kufa kwake (s.a.w), pia imezungumzia tukio la kufa Mtume (s.a.w).
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya nafasi ya usafi katika Uislamu ikiwemo Sunna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia ubora na umuhimu wa maisha ya ndoa.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Dua alizoomba Mtume (s.a.w) ili Allah amkinge na Moto wa Jahanam na Adhabu za kaburini, pia imezungumzia miongoni mwa sababu za watu kuadhibiwa kaburini.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Watu aina mbili ni watu wa fitina kubwa ni wajibu kwa Muislamu kujiepusha nao, pia imezungumzia umuhimu wa kuchukua tahadhari wakati wa ikukidhi haja.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .
2015-11-03
Katika muhadhara huu anaelezea Sheikh Bilal Flipic kipindi cha utoto wake na njia yake ktk Uislamu.
2015-11-03
Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.
2015-11-03
Muhadhara maalumu ktk kuelezea maana ya Uislamu kwa wasiokuwa Waisilamu.
2015-11-03
Maana ya Uislam kwa wasiokuwa Waisilamu: Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.
2015-10-27
Mada ikielezea kuhusu Mtume wa Rehma kwenye picha na kukiri hawaa: Michael Hart, George Bernard Shaw, Mahatma Gandhi, Gustave Le Bon, Leo Tolstoy and Wolfgang Goethe.
2015-10-27
Anazungumza Jorge Garcia mada ya "kwa nini kasilimu" na kwa nini kachaguwa Uislamu kabainisha ya kwamba Uislamu ndio dini ya Amani na akaelezea sababu za kuuacha ukristo na kuingia ktk Uislamu, na kutoa hoja ya kwamba Issa (s.a.w), sio Mungu.
2015-10-27
Video kwa lugha ya Kingereza, kuna kisa cha kusilimu Dr. Laurence Brown, na kwanini amekataa Ukristo na kuingia ktk Uislamu?.
2015-10-27
Mada ya video kwa lugha ya Kiyonani kajibu maswali sh: Yusuf Astes yaliyo ulizwa na mmoja ktk wanawake wa Kikristo kuhusu sababu ya kuacha Dini ya Unaswara na kuufanya Uislamu kuwa Dini.
2015-10-27
Kwenye kipindi hiki kuna maswali mengi sana kuhusu utata unao zagazwa dhidi ya Uislamu kutoka kwa Makafiri na wakati mwengine kwa baadhi ya Waislamu.
2015-10-27
Katika mkutano huu kwa lugha ya Kingereza anajadili Dr. Jaffar Idris Mmoja ktk viongozi wa haki za binaadamu (Uhuru).
2015-10-27
Anatangaza ndugu James kusilimu kwake, kisha anatoa baadhi ya muongozo na nasaha anazo bainisha ndugu "The deen show" anaelezea ya kwamba mtu anapo ingia tu ktk Uislamu madhambi yake yote hufutwa.
2015-10-27
Mada ya video kwa lugha ya Kingereza inaelezea kuhusu Dini ya Uislamu kwa ujumla na mafunzo yake na mema yake na kujibu baadhi ya utata kuhusu Uislamu kutoka kwa makafiri Mayahudi na Wakristo.
2015-10-27
Abdur Raheem Green Mmoja miongoni mwa Masheikh maarufu Duniani anatuzungumzia kusilimu kwake na sababu ya kuingia ktk Uislamu?
2015-10-20
Kwenye muhadhara huu anaelezea Sh: Abdur-Raheem Green mada ya "maana ya neno Uislamu" na akataja mazuri ya Dini ya Uislamu na kwamba unaongoza ktk njia sahihi ktk jami nakuwaepusha na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
2015-10-20
Video fupi anaelezea mtoa mada Uislamu kwa ufupi na kwa wepesi.
2015-10-20
Kipande cha Video kikimuelezea Mtume (s.a.w) na kipande hiki kinabainisha Huruma zake Mtume (s.a.w) kwa Wanyama.
2015-10-20
Kaelezea Sh: ktk Khutba hii kuhusu Uislamu na mafunzo yake kwa ujumla na mazuri yake yasiyo na mfano kwa ufupi.
Go to the Top