Kuonyesha Video ( 951 - 975 Katika jumla ya: 1096 )
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 04
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Watu aina mbili ni watu wa fitina kubwa ni wajibu kwa Muislamu kujiepusha nao, pia imezungumzia umuhimu wa kuchukua tahadhari wakati wa ikukidhi haja.
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 02
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01
2015-11-10
Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .
Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 2
2015-09-23
Mada hii inazungumzia: Mapenzi ya Allah juu ya waja wake na kwamba siku ya Arafa ni sababu ya waja kurudi kwa Mola wao pamoja na kulia sana, pia imezungumzia siku ya Arafa Allah anakuwa karibu na waja wake.
Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 1
2015-09-23
Mada hii inazungumzia: Ubora wa siku ya Arafa na kwamba ni siku ya kutubia na kuomba dua pamoja na kufanya tasbihi sana, pia imezungumzia umuhimu wa kuwa na yakini na kuto kata tamaa kwani Rehma ya Allah ni pana.
Mambo yanayo takiwa katika hijja
2015-09-23
Mada hii inazungumzia: Nguzo za Hijja na yaliyo wajibu kufanya katika Hijja, pia imezungumzia aina za Hijja na yanayo fungamana nazo.
Hijja ni Arafa
2015-09-23
Mada hii inazungumzia: Inazungumzia maana ya Arafa na Aya iliyoshuka kwa Mtume (s.a.w) alipokuwa Arafa, pia imezungumzia Arafa ni siku ambayo watu wanaachwa huru na moto.
Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.
Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)
Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 1
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.
Fadhila za Ibada ya Hijja
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Fadhila za Hijja na mapenzi ya Allah kwa waja wake na kwamba mwenye kufanya Hijja ya kweli malipo yake ni pepo, pia imezungumzia Hijja ni mazingatio kwa waja ili watu wasibaguane na wala wasidharauliane.
Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 4
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Sehemu zilizo bora na muhimu kuomba dua kwa mwenye kufanya Hijja kama alivyokua akifanya Mtume (s.a.w) na watu wema waliopia, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga matendo ya Hijja na kuto ya changanya na shirki.
Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 3
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah ni kwamba Allah anawakusanya mahujjaji wote katika viwanja vya Arafa wakiwa katika vazi la aina moja, pia imezungumzia kuwa pepo ndiyo malipo ya mtu mwenye kufanya Hijja ya kweli.
Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 2
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah juu ya wake ni kwamba amempa mwanadamu akili na akamfanya kuwa kiumbe bora kuliko, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya toba ya kweli katika masiku ya Hijja
Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1
2015-09-20
Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake.
Nasaha za vitendo vya Hijja 2
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Hijja ni wito na kwamba ni muhimu kujitahidi kufanya ibada katika masiku ya Hijja nakumuomba Allah sana ili kupata radhi za Allah katika masiku yahija matukufu.
Nasaha za vitendo vya Hijja 1
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah.
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.
WAKATI WA KUJIBIWA DUA KWA MWENYE KUFUNGA
2015-07-21
Mada hii inazungumzia: Wakati ambao mwenye kufunga akiomba dua anajibiwa na Allah, na inazungumzia pia ubora wa kumuomba na kumtegemea Allah (S.w)
MIONGONI MWA HAKI ZA MUME
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Haki za mume juu ya mkewe na kwamba mwanamke mwenye kumtii mumewe ataambiwa aingie Peponi kupitia mlango autakao katika milango nane.
SUBIRA
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa kusubiri na kuvumilia katika mambo mazito, imezungumzia pia utofauti wa malipo mema kwa watu wema na malipo mabaya kwa watu waovu.
BINTI ALIE PATA MALEZI BORA
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.
CHANZO CHA WAISLAM KUGANYIKA
2015-06-10
Mada hii inazungumzia: Mashekh kukosa msimamo katika Da’awah ni chanzo cha waislamu kugawanyika katika jamii, imezungumzia pia Wanachuoni walikhitilafiana lakina hawakufarakana.
Go to the Top