Kuonyesha Video ( 851 - 875 Katika jumla ya: 1096 )
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 18
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) amebainisha kuwa elimu ya ghaibu ni maalumu kwa Allah na anaweza kuwambia anao wataka katika mitume, kisha ametaja miujiza ya mtume katika mambo ya ghaibu, na amemaliza kwa kutaja aina za miujiza katika mambo ya ghaibu.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 17
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameelezea dua ya mtume kwa mama yake na Abuu Hurayra na kusilimu kwake, kisha amezungumzia maajabu ya dua ya Mtume (s.a.w).
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 16
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) imezungumzia muujiza wa mtume katika vita vya Hunaini alipo rusha mchanga kila mtu ukampata kila adui ule mchanga wakakimbia, pia katika miujiza ya mtume ni miujiza ya dua, pia amezungumzia mujiza wa kuomba mvua.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 15
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ikiwemo na miujiza ya kulindwa na maadui, pia amezungumzia muujiza wa mtume na Abu Jahli pia mujiza wa mtume na Suraqatu Bi Maliki.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 12
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameanza kuzungumzia nafasi ya ukweli na uaminifu na umuhimu wa kutekeleza ahadi, pia ameeleza kisa cha safari ya nabii Issa na kijana wake, kisha akamalizia kwa kutaja mujiza wa mtume katika nyama yenye sumu aliyo kula.
Je! Katika Nafsi Zenu Hamzingatii
2015-12-13
Madaa hii inazungumzia: Umuhimu wa kuzingatia katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu, na amebainisha neema ya viungo ikiwemo figo na alama za kuharibika kwake, na amebainisha kazi za figo mwilini, mwisho amezungumzia umuhimu wa kushukuru neema na kwamba mwanadamu ataulizwa.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 10
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akila chakula na Maswahaba wake na chakula kile kikawa kinamtaja Allah, pia imezungumzia muujiza wa mbwa mwitu kutoa habari za Mtume Muhammad (s.a.w) kwa mchunga mbuzi.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 09
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotekea wakati wa kukidhi haja katika jangwa la Afiyah, pia imezungumzia muujiza ambao jiwe lilikua likimtolea salam Mtume (s.a.w) kabla ya kupewa utume.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 08
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mti kushuhudia kuwa Allah ni mmoja na Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa Allah mbele ya Bedui (Mwarabu wa mashambani), pia imezungumzia vitimbi alivyofanyiwa Mtume (s.a.w).
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 07
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea kwa Abuu Ayyubul-Answar (r.a), pia imezungumzia kwa ufupi historia ya vita vilivyoteka Tabuki, na muujiza wa Mtume (s.a.w) uliotokea katika vita hivyo.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 06
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kukithirisha chakula yaani chakula kidogo kukifanya kingi, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kukithirisha chakula uliotokea kwa Swahaba Abuu Twalha na Jabir (r.a).
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 05
2015-12-11
Mada hii inazungumzia:, ufafanuzi wa muujiza uliotokea katika sulhul-hudeybia, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kutemea mate katika kisima kilichokuwa kime kauka maji na maji yakajaa.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 04
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ndani ya Qur’an aliyopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kupasuka mwezi, pia imezungumzia miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kulizuia jua, na kutoa maji katika vidole vyake Mtume (s.a.w).
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 03
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza aliopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa Qur’an tukufu ambao unaitwa muujiza mkubwa, pia imezungumzia miujiza iliyomo ndani ya Qur’an, na namna makafiri walivyoshindwa kuleta mfano wa Qur’an.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 02
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miujiza ni kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu na imebainisha tofauti kati ya karama na uchawi, na kwamba karama inakua kwa mtu mwema na uchawi ni kwa mtu muovu, pia inazungumzia miongoni mwa dalili za miujiza.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 01
2015-12-11
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na imebainisha tofauti kati ya miujiza ya Manabii waliopita na miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia tofauti kati ya muujiza na karama, na sababu ya Mitume kupewa miujiza.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 16
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Maneno na wasia wa Mtume (s.a.w) kwa binti yake Fatwima na imeelezea heshima na adabu aliyokuwa nayo Fatwima (r.a), pia imezungumzia kwa ufupi historia ya Ummu Kuluthum mtoto wa Mtume (s.a.w).
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 15
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Maimuna bint Harith na kwamba ni katika wakeze Mtume (s.a.w) waliosifika na ucha Mungu, pia imeelezea habari za bi Fatwima na Ally bin Abiy Twalib (r.a).
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 14
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Uzinduo kwa akina mama wa kiislamu na kuwausia kufuata mwenendo wa nyumba ya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia idadi ya wakeze Mtume (s.a.w), na umuhimu wa kufanya uadilifu na sulhu katika ndoa.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 13
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Nasaha kwa wanawake wote wa kiislamu kupitia mifano ya wanawake wa nyumba ya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhumu wa kushikamana na dini na kujiepusha na tabia mbaya za kimagharibi.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 12
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Sababu ya mama Aisha (r.a) kuachwa na msafara na hatimaye kusaidiwa na Swahaba Swaf’wan bin Muwatwal (r.a), pia imezungumzia hatari na maafa ya ulimi.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 11
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Maneno aliyosema mama Aisha (r.a) kabla ya kushuka Aya kwa Mtume (s.a.w) za kumtakasa kutokana na uchafu aliozushiwa, pia imezungumzia hatari ya kumzushia muislamu uchafu wa zinaa na kwamba ni katika madhambi makubwa.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 10
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) kumruhusu bi Aisha (r.a) kwenda kwao wakati akisubiri suluhisho kutoka kwa Allah kutokana na uzushi aliozushiwa, pia imezungumzia kilio alicholia mama Aisha (r.a) mbele ya wazazi wake.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 9
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Kisa cha uzushi aliozushiwa mama Aisha (r.a) na kwamba madhara ya ulimi ni makubwa kulikoupanga, pia imezungumzia hatari na ubaya wa uzushi katika uislamu.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 8
2015-12-08
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kujifunza na kuiga namna Mtume (s.a.w) alivyoishi na wake zake ili kuzijenga familia katika uislamu wa kweli, pia imezungumzia hatari ya kuvuka mipaka na kuipotosha jamii.
Go to the Top