Kuonyesha Video ( 976 - 1000 Katika jumla ya: 1096 )
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 4
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) akiwemo wa nne ni Ubayya Bin Kaab (R.a),mtaalam wa kusoma Quraan, na Zaid Bin Thabit mjuzi wa elimu ya mirathi,na Muadh Bin Jabal mtaalam wa halali na haram,na Abuu Ubaydah mwaminifu wa Umati Muhamad.
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 3
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa tatu katika wao ni Othman Bin Affaan (R.a) pi imezungumzia sifa maalum ya Othman (R.a)
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 2
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa pili katika wao ni Omar Bunil Khatwab (R.a), inazungumzia pia mambo makubwa aliyo yafanya katika dini.
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 1
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa kwanza wao akiwa ni Abubakar Swidiq (R.a), pia imezungumzia uzito wa imani aliyokuwanayo Abubakar (R.a)
LIWATWI  NA HUKUMU ZAKE.3
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Madhambi makubwa ya liwatwi na kusagana wanawake kwa wanawake yanayo fanyika katika ummat Muhammad (s.a.w).
LIWATWI  NA HUKUMU ZAKE.2
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya liwatwi anapata laana ya Allah, na pia inazungumzia Malaika waliokwenda kuangamiza kaumu Lutwi (a.s) watu wa Nabii Lutwi..
LIWATWI  NA HUKUMU ZAKE.1
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Hatari ya liwatwi na namna Mwenyezi Mungu alivyo angamiza kijiji (Sodom) kwasababu ya liwatwi
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 03
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Kumpenda Mtume rehma na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kisa cha Baitul Maamur.
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 02
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, imezungumzia pia baadhi miujiza ya Mtume s.a.w
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 01
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.
UTARATIBU WA KULALA KIISLAM
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kiislamu katika kulala, na umuhimu wa kusoma dua wakati wa kulala.
WASIA KWA MKE NO2
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia utaratibu wa kumuadabisha mke.
WASIA KWA MKE NO1
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia udhaifu wa wanawake.
KUKUMBUKA KIFO NO2
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa ikhlaswi katika matendo, atakayoulizwa mwanadamu kaburini, na umuhimu wa kushikamana na Sunna.
KUMBUKA KIFO NO1
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, madhambi yanayo sababishwa na simu, na hali za Maswahaba katika kuzihesabu nafsi zao.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO3
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusameheana.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO2
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Maswali atayo uliza Masihidajali baada ya kutokea.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO1
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Mambo matatu yatakapo tokea milango ya toba itafungwa.
FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.
TWAHARA NA AINA ZAKE 03
2015-03-07
Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, imezungumzia pia jinsi ya kutayamamu.
TWAHARA NA AINA ZAKE 02
2015-03-07
Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, pia imezungumzia sifa za udhu na jinsi ya kutawadha.
TWAHARA NA AINA ZAKE 01
2015-03-07
Mada hii inazungumzia: inazungumzia maana ya twahara ya nafsi na twahara ya viungo.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 3
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni kuzingatiya au kunyenyekea na kuwa ikhlas na mapezi.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH  2
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Yaqini na Qabuli.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 1
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Elimu inayo pingana na Ujinga.
Go to the Top