Kuonyesha Video ( 1051 - 1075 Katika jumla ya: 1096 )
UBORA WA SIKU KUMI ZA MFUNGO TATU(Kiswahili)
2014-09-08
Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya mfungo tatu,na sababu yakuyafanya yawe ora,na rehma ya Allah katika masiku hayo,na kufadhilisha Allah badhi ya viumbe vyake kwa vingine.
MIEZI MINNE MITUKUFU(Kiswahili)
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na ubainifu wake kwa majina,na malipo ya mwenye kutenda mema na maovu,na sababu ya kuitwa miezi hiyo,namatendo mema aliyo tuongoza mtume tuyafanye.
KHATARI YA KULA RIBA(Kiswahili)
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia uhatari wakula riba na milango ya riba na adhabu za mla riba na uharamu wa kuwekeza katika mabenki ya riba na namna wanavyo patwa watu na vumbi la riba,na adhabu za mla riba.
HIV NIMARADHI AO NIADHABU?(Kiswahili)
2014-06-02
Mada hii inazungumzia ugonjwa wa ukimwi (HIV)niadhabu kutoka kwa Allah ao nimaradhi? na niipi tiba ya ukimwi baada ya kumsibu mwanadamu na kabla ya kumsibu mtu.
NDOA YENYE BARAKA(Kiswahili)
2014-06-02
Mada hii inazungumzia ndowa yenye Baraka katika uislam,na kheri zinazo letwa na ndowa yenye baraka.
MAMA NANI KAMA MAMA!(Kiswahili)
2014-06-02
MADA HII INAZUNGUMZIA FADHILA ZA MAMA NA HAKI ZA WAZAZI KWA UJUMLA NA MAMBO AMBAYO AKIYAFANYA MTOTO ANAKUWA AMEWATENGA WAZAZI WAKE.
Wanao Abudu Makaburi(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia hali ya wanao abudu makaburi na hukumu ya kuabudu makaburi.
Wanachuoni Wetu Wa Africa Mashariki(Kiswahili)
2014-04-06
Mada hii inazungumzia historia ya wanachuoni wa africa mashariki ambao walio toa mchango mkubwa katika uiendeleza dini ya allah.
Uchungu Wa Madhambi(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia uchungu wa wenye kutubia na hali za wenye kutbia.
Uadilifu Katika Dini(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia uadilifu katika dini na fadhila za kufanya uadilifu.
Thamani Ya Undugu(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na ubora wakuwa ndugu.
Maeneo Yenye Historia Makka Na Madina(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia khasara tatu za muislam,na utukufu wa makkah na madina na maeneo yenye historiya katika mji mituku wa maka na madina na mazingatio katika sehemu hizo.
Hijabu Ya Mwanamke(Kiswahili)
2014-04-06
Khutba hii inazungumzia hijabu ya mwanamke sifa zake na hukumu yake.
Haki Za Maiti - 2(Kiswahili)
2014-04-06
Haki Za Maiti - 2: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.
Haki Za Maiti - 1(Kiswahili)
2014-04-06
Haki Za Maiti - 1: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.
HISTORIA YA UISLAM AFRICA MASHARIKI - 2(Kiswahili)
2014-03-17
Mada hii imezungumzia hisrotia ya uislam katika nchi za Africa mashariki na namna uislam ulivyo ingia Africa.
HISTORIA YA UISLAM AFRICA MASHARIKI - 1(Kiswahili)
2014-03-17
Mada hii imezungumzia hisrotia ya uislam katika nchi za Africa mashariki na namna uislam ulivyo ingia Africa.
OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE(Kiswahili)
2014-03-17
Mada hii imezungumzia uhatari wa kuipenda dunia na wanawake.
UKARIMU WA ALLAH SIKU YA IDDI(Kiswahili)
2014-03-17
KHUTBA HII YA EDDI INAZUNGUMZIA UKARIMU WA ALLAH KWA WAJAWAKE SIKU YA IDDI NA UNYONGE WA SHETANI KATIKA SIKU YA IDDI,NA UWAJIBU WA MWISLAM KUENDELEZA IBAADA BAADA YA RAMADHANI.
HAKI ZA MAJIRANI(Kiswahili)
2014-03-17
KHUTBA HII INAZUNGUMZIA HAKI ZA MAJIRANI NA HAKI ZA MAYATIMA NA UMUHIMU WA HATARI YA KUVUNJA UDUGU.
USIKU WA LAYLATUL QADRI(Kiswahili)
2014-02-23
KHUTBA HII YA KISWAHILI INAZUNGUMZIA USIKU WA LAYLATUL QADRI NA UBORA WA USIKU HUO NA WAGENI WANAO ITEMBELEA DUNIA KATIKA USIKU HUO.
UBORA WA KUFUNGA MWEZI WA SHAABANI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA UBORA WA KUFUNGA SWAUMU ZA SUNNAH NA MWEZI WA SHAABANI.
THAMANI YA MWEZI WA RAMADHANI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA THAMANI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA UBORA WAKE NA ATHARI ZINAZO ACHWA NA MWEZI WA RAMADHANI BAADA YA KUONDOKA.
NJIYA RAHISI YA KUPATA RIZKI YA HALALI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA NJIA RAHISI YA KUJIPATIYA RIZKI YA HALALI,NA UHATARI WA KUJITAFUTIA RIZIKI YA HARAMU.
NEEMA ZA WATU WA PEPONI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA NEEMA ZA WATU WAPEPONI,NA BAADHI YA TABIYA MBAYA ZA WAFUNGAJI.