Kuonyesha Video ( 1026 - 1050 Katika jumla ya: 1096 )
UMUHIMU WATAUHIDI 2
2015-01-24
Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid katika Daawa na ndio jambo lakwanza linalo takiwa lianze katika daawa.
UMUHIMU WATAUHIDI1
2015-01-24
Mada hii inazunguzia Maana ya Tawhiid na umuhimu wa Tawhiid na Tawhiid ndio msingi wa amani katika maisha ya duniani.
MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH
2015-01-24
Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.
ALAMA ZA WANAFIKI
2015-01-24
Mada hii inazunguzia Akama za wanafiki na mafikiyo ya wanafiki.
USIFUATE MAMBO AMBAYO HUNA ELIMU NAYO
2014-12-21
Mada hii inaelezea ubora wa elimu na hatari ya kufuata mambo ambayo huna elimu nayo.
FADHILA ZA MASWAHABA
2014-12-16
Mada hii inazunguzia fadhila na visa vya Maswahaba wa Mtume Muhammad (S.a.w)
UBORA WA KUTOA SADAKA
2014-12-16
Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.
UBORA WA KUMLEA YATIMA
2014-12-16
Mada hii inazungumzia ubora wa kumlea yatima na hatari ya kumdhulum, kumnyanyasa na kumtesa.
TOFAUTI YA WASHIRIKINA WA SASA NA WASHIRIKINA WA ZAMANI
2014-12-16
Mada hii inazungumzia utofauti wa washirikina wa zama zetu na washirikina zamani
TAWASULU ISIYO YA KISHERIA
2014-12-16
Mada hii inazunguzia tawasulu iliyokatazwa na madhara yake.
TAWASWUL YA SHERIA
2014-12-16
Mada hii inazungumzia binadam kumuomba na kutegemea Allah pindi anapofikwa na matatizo.
KUSOMA AYATUL-KURSY NI SABABU YA KUINGIA PEPONI
2014-12-16
Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO2
2014-11-28
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO1
2014-11-28
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
Hukumu za swala
2014-11-14
Mada hii inazungumzia hukumu za swala,na hukumu za kusoma Alfatha,na jinsi ya kusoma katika swala,na viungo vinavyo sujudu na jinsi ya kusoma tahiyatu.na nafasi ya utulivu katika swala.
KIZUIZI CHA MWENYE KUSWALI
2014-11-14
Mada hii inazungumzia kuweka kiziwizi wakati wa kuswali,na namna ya kufanya akipita mtu mbele ya mwenye kuswali,na vitu venye kutengua swala vikipita mbele,na anaetakiwa kuweka kiziwizi.
KUOGA
2014-11-14
Mada hii inazungumzia kuoga,maana yake,na nyakati za wajibu kuoga,na jinsi alivyo oga mtume s.a.w,namna ya kuoga janaba, na hedhi na nifasi,ukumbusho muhimu.
Kupangusa juu ya kofu mbili
2014-11-14
Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia hukumu ya kupangusa juu ya khofu mbili.
Hukumu za Kutayamamu
2014-11-14
Mada hii inazungumzia hukumu za kutayamamu,maana yake,na hukumu yake na wakati wa kutayamamu,mwanzo wa kutayamamu na mwisho wake,na jinsi ya kutayamamu,na vinavyo haribu kutayamamu,
UNAZIJUA SIFA ZA KADHI
2014-11-14
MADA HII INAZUNGUMZIA SIFA ZAKADHI KATIKA UISLAM.
UMUHIMU WA MAHAKA YA KADHI WA KIISLAM
2014-11-14
MADA HII INAZUNGUMZIA UMUHIMU WA MAHAKAMA YA KADHI NA UMUHIMU WAKE.
MJA KUTO KUMJUWA MOLA WAKE NA ATHARI ZAKE
2014-11-14
Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia madhara ya mwanadamu kuto kumjuwa mola wake.
Namna ya kuswali
2014-11-05
Mada hii inazungumzia namna ya kuswali mwanzo mpaka mwisho,na maneno yakusema wakati wa kuswali.na adhkari baada ya swala.
Udhu
2014-11-05
Mada hii inazungumzia namna ya kutawadha, dua baada ya udhu, yanayotengua udhu, adabu za udhu na ibada zinazofanywa na mtu mwenye udhu.
UBORA WA SIKU YA ARAFA
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia ubora wasiku ya Arafa na maana ya siku ya arafa na neema kubwa ya Allah kwa waja wake katika siku ya Arafa.
Go to the Top