Kuonyesha Video ( 1076 - 1096 Katika jumla ya: 1096 )
NAMNA YA KUIANDAA SAANDA YA MAITI
2014-02-23
SEMINA HII INAZUNGUMZIA ADABU ZA KUMUONA MGONJWA NA ALAMA ZA KUMJUWA ALIE KUFA NA JINSI YA KUKATA SANDA YA MWANAUME NA MWANAMKE.
MIONGONI MWA HAKI ZA MWANAMKE
2014-02-23
KHUTUBA HII YA KISWAHILI INAZUNGUMZIA MIONGONI MWA HAKI ZA MWANAMKE NA IMEZUNGUMZIA UHATARI WA MUME KUWA MBALI NA MKE KWA MUDA MREFU.
MGENI MTUKUFU
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA MAPOKEZI YA MGENI MTUKUFU AMBAE NI MWEZI WA RAMADHA NI.
MADHAMBI 7 YENYE KUANGAMIZA
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA MADHAMBI SABA YENYE KUANGAMIZA NA UFAFANUZI WAKE.
MAMBO 5 ALIYO TABIRI MTUME S.A.W.
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA UFAFANUZI KUHUSU MAMBO MATANO ALIYO BASHIRIA MTUME S.A.W. UMMA WAKE KUWA YATATOKEA.
KHUTBA YA EDDI KUHUSU IKHLASI
2014-02-23
KHUTBA HII YA EDDI ALFITRI INAZUNGUMZIA KUHUSU UMUHIMU WA IKHLASI KATIKA IBADA NA UWAJIBU WA MWISLAM KUENDELEZA IBAADA BAADA YA RAMADHANI.
KUITUMIKIA DINI
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.
FAHAMU JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI NA YANAYO PASA KWA KILA MUISLAM KUYAJUWA KABLA YA MWEZI WARADHANI KUMFIKIA.
Utukufu Wa Siku 10 Za Dhul Hijjah
2013-12-26
Mada hii imezungumzia Utukufu wa siku kumi za mfungo tatu na ubora wa kufanya ibada katika siku hazo.
Uislam Africa Mashariki
2013-12-26
Mada hii inazungumzia uhusiano wa africa na uislam,na watu wakwanza walio leta uislam africa mashariki,na ukarimu wa watu wa afrika mashariki.
Ruqya Ya Kisheriya
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ruqya ya kisheria na jinsi ya kutowa majini, na vipi jinni anaweza kumuingia mtu na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.
Miongoni Mwa Sifa Za Watu Wema
2013-12-26
Mada hi inazungumzia sifa za watu wema na uwaijibu wa waislam kuwafuata watu wema.
Uchawi
2013-12-26
Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.
Swaumu Ya Ashuraa
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ubora wa swaumu ya ashuraa na utukufu wa allah wa kusamehe madhambi katika siku ya ashura.
Sababu Ya Kukufuru Wanadamu
2013-12-26
Mada hii inazungumzia sababu ya kukufuru wanadamu na kuiacha dini ya mwenyezi mungu na kuingia katika ushirikina.
Nini maana ya uchawi na majinni ?
2013-12-26
Nini maana ya uchawi na majinni, vipi jinni anaweza kumuingia mtu, na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.
Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.
Hukumu Ya Kuchinja
2013-12-26
Mada hii inazungumzia kuchinja na hukumu yake na hukumu ya kuchinja kwaajili ya mizimu na na mashetani ao makaburi.
Jinsi Ya Kumuadhimisha Mtume
2013-12-26
Mada hii inazungumzia namna ya kumtukuza mtume s.a.w.na kumuheshimu mtume na taratibu za kumtakia rehma.
Hukumu Ya Kusherehekea Chrismas
2013-12-26
Mada hii inazungumzia hukumu ya kusherehekea Chrismas na mwaka mpya na kupeyana zawadi ao kupongezana.
Hajj hatua kwa hatua
2013-10-14
Hajj hatua kwa hatua.
Go to the Top