Nasoro Abdallah Bachu

watu mashuhuri na wenye hadh binafsi Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Nasoro Abdallah Bachu
Maelezo kwa ufupi.: Shekh Nassor Abdallah Bachu: Alikua ni mlinganiaji maarufu nchini Tanzania, na alikua akitoa Darsa katika misikiti mbalimbali ndani na nje ya visiwa vya Zanzibar, pia alikua ni Imamu na Khatwib katika Msikiti wa Rahaleo Zanzibar mpaka anafariki dunia, Allah amsamehe na amrehem, Ameen!.-
Tarehe ya kuongezwa: 2006-03-16
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/7684
Maudhui zinazo ambatana na.. ( 11 )
Go to the Top