Kuonyesha Video ( 1176 - 1200 Katika jumla ya: 1290 )
LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.1(Kiswahili)
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Hatari ya liwatwi na namna Mwenyezi Mungu alivyo angamiza kijiji (Sodom) kwasababu ya liwatwi
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 03(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Kumpenda Mtume rehma na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kisa cha Baitul Maamur.
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 02(Kiswahili)
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, imezungumzia pia baadhi miujiza ya Mtume s.a.w
MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 01(Kiswahili)
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.
UTARATIBU WA KULALA KIISLAM(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kiislamu katika kulala, na umuhimu wa kusoma dua wakati wa kulala.
WASIA KWA MKE NO2(Kiswahili)
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia utaratibu wa kumuadabisha mke.
WASIA KWA MKE NO1(Kiswahili)
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia udhaifu wa wanawake.
KUKUMBUKA KIFO NO2(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa ikhlaswi katika matendo, atakayoulizwa mwanadamu kaburini, na umuhimu wa kushikamana na Sunna.
KUMBUKA KIFO NO1(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, madhambi yanayo sababishwa na simu, na hali za Maswahaba katika kuzihesabu nafsi zao.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO3(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusameheana.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO2(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Maswali atayo uliza Masihidajali baada ya kutokea.
ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO1(Kiswahili)
2015-03-11
Mada hii inazungumzia: Mambo matatu yatakapo tokea milango ya toba itafungwa.
FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU(Kiswahili)
2015-03-11
Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.
TWAHARA NA AINA ZAKE 03(Kiswahili)
2015-03-07
Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, imezungumzia pia jinsi ya kutayamamu.
TWAHARA NA AINA ZAKE 02(Kiswahili)
2015-03-07
Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, pia imezungumzia sifa za udhu na jinsi ya kutawadha.
TWAHARA NA AINA ZAKE 01(Kiswahili)
2015-03-07
Mada hii inazungumzia: inazungumzia maana ya twahara ya nafsi na twahara ya viungo.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 3(Kiswahili)
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni kuzingatiya au kunyenyekea na kuwa ikhlas na mapezi.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 2(Kiswahili)
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Yaqini na Qabuli.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 1(Kiswahili)
2015-03-07
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Elimu inayo pingana na Ujinga.
KINGA YA SHETANI WAKATI WA KULALA NO2(Kiswahili)
2015-02-16
Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga na shetani wakati wa kulala na faida ya kusoma aya za mwisho katika suratu Albaqra.
2015-02-16
Mada hii inazunguzia adabu za kulala na umuhimu wa nia katika ibada na namna ya kujikinga na shetani
2015-02-16
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia kua Kuwaomba waliopigana katika vita vya Badri niushirikina.
NIIPI HUKUMU YA DUA YA AHLU BADRI? 1(Kiswahili)
2015-02-16
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kuwaomba watu walio kufa katika vita vya Badri na mafungamano yao na waganga wa kienyeji.
UZITO WA WAZAZI WAWILI(Kiswahili)
2015-02-10
Mada hii inazunguzia Uzito wa wazazi wawili na malipo ya kuwafanyia wema.
USHIRIKINA KATIKA IBADA(Kiswahili)
2015-02-10
Mada hii inazunguzia balaa la ushirikina katika Ibadan a madhara yake.