Kuonyesha Video ( 1 - 25 Katika jumla ya: 1096 )
Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.
Qauli yenye faida 18 Matendo yanayo Muudhi Allah Mtukufu
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Matendo ambayo yanamuudhi Allah kama kufanya shirki na kuabudu moto, na kuitakidi kuwa myoshi ya ubani uapeleka dua kwa Allah.
Qauli yenye faida 17 Uislam upo katika Maumbile ya Mwanadamu
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.
Qauli yenye faida 16 Maana ya Kumuamini Allah
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.
Qauli yenye faida 15 Mwongozo katika kutekeleza Ibada ya Hijja
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo ya tano za Uislam, pia ameeleza muda na wakati wa kuhiji, na mwongozo katika kutekeleza ibada hiyo, pia amewatahadharisha mahujaji kuingia katika shirki wakati wa kutembelea mji mtukufu wa Madina.
Qauli yenye faida 14 Malipo ya Mwenye kuswali Swala Tano
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu malipo makubwa ya mwenye kuswali, kisha amezungumzia madhambi ya mwenye kuacha swala, na ameelezea hukumu za Zaka na Swaumu kwa ufupi.
Qauli yenye faida 13 Nguzo za Uislam
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.
Qauli yenye faida 12 Uislam ndio njia ya Peponi
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.
Qauli yenye faida 11 Uislam ni kumtii Allah na Mtume wake
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam nikutekeleza na kufuata sheria ya Allah na yote aliyo kujanayo Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake, na hii ndio maana ya Uislam.
Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.
Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.
Qauli yenye faida 08 Allah yuko wapi?
2017-04-21
Mada hii ina fuata mada iliyo pita katika kuelezea Ushahidi kuwa Allah yuko mbinguni.
Qauli yenye faida 07 Allah yuko wapi?
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu alipo Allah Mtukufu, kabainisha kuwa yuko mbinguni na amestawi juu ya Arshi yake na hafanani na kiumbe yoyote katika kustawi kwake.
Qauli yenye faida 06 Maana ya Kumfuata Mtume Alayhi salam
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa.
Qauli yenye faida 05 Maana ya Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah
2017-04-21
Mada hii Inakamilisha mada ilio pita pia amebainisha athari za wanao shahidilia kuwa Mtume Muhamad ni Mtume wa Allah.
Qauli yenye faida 04 Maana ya Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah
2017-04-21
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya shahada ya pili ambayo ni Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah. Maana yake na dalili za uwajibu wa kumfuata Mtume.
Qauli yenye faida 03 Maana ya LaIlaha Ila Allah
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maana ya neno la Tawhiid na Umuhimu wake na matendo yanayo pingana na neno hilo.
Qauli yenye faida 02 Umuhimu wa Tawhid na Nguzo zake
2017-04-21
Mada hii inazungumzia umuhimu wa tawhid na nguzo zake
Qauli yenye faida 01 Maana ya Tawhidi
2017-04-21
Mada hii Inaelezea Maana ya Tawhiid na Ibada kisha ameelezea wigo wa Ibada za qauli na vitendo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 164
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuchinja na sharti za mnyama anaefaa kuchinjwa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 163
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Ibada ya kuchinja siku ya Iddi, pia imeelezea wakati na muda wa kuchinja.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 162
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hekima ya kutoa zakatul Fitri na anae paswa kutoa zakatul fitri.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 161
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Zakatul Fitri, na adabu zake na kiwango chake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 160
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Muda na wakati wa kuanza kuleta takbira za Iddi, na namna ya kuleta takbira.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 159
2017-03-26
Mada hii inazungumzia: Adabu za khutba ya Iddi, na taratibu zake kama alivyo fanya Mtume s.a.w.
Go to the Top