Qauli yenye faida 15 Mwongozo katika kutekeleza Ibada ya Hijja

Anuwani: Qauli yenye faida 15 Mwongozo katika kutekeleza Ibada ya Hijja
Lugha: Kiswahili
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo ya tano za Uislam, pia ameeleza muda na wakati wa kuhiji, na mwongozo katika kutekeleza ibada hiyo, pia amewatahadharisha mahujaji kuingia katika shirki wakati wa kutembelea mji mtukufu wa Madina.
Tarehe ya kuongezwa: 2017-04-21
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2821651
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
