Kuonyesha Video ( 1151 - 1175 Katika jumla ya: 1290 )
Muhammad (s.a.w) katika Injil -1(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.
MIONGONI MWA HAKI ZA MUME(Kiswahili)
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Haki za mume juu ya mkewe na kwamba mwanamke mwenye kumtii mumewe ataambiwa aingie Peponi kupitia mlango autakao katika milango nane.
SUBIRA(Kiswahili)
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa kusubiri na kuvumilia katika mambo mazito, imezungumzia pia utofauti wa malipo mema kwa watu wema na malipo mabaya kwa watu waovu.
BINTI ALIE PATA MALEZI BORA(Kiswahili)
2015-06-10
Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.
CHANZO CHA WAISLAM KUGANYIKA(Kiswahili)
2015-06-10
Mada hii inazungumzia: Mashekh kukosa msimamo katika Da’awah ni chanzo cha waislamu kugawanyika katika jamii, imezungumzia pia Wanachuoni walikhitilafiana lakina hawakufarakana.
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 4(Kiswahili)
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) akiwemo wa nne ni Ubayya Bin Kaab (R.a),mtaalam wa kusoma Quraan, na Zaid Bin Thabit mjuzi wa elimu ya mirathi,na Muadh Bin Jabal mtaalam wa halali na haram,na Abuu Ubaydah mwaminifu wa Umati Muhamad.
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 3(Kiswahili)
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa tatu katika wao ni Othman Bin Affaan (R.a) pi imezungumzia sifa maalum ya Othman (R.a)
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 2(Kiswahili)
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa pili katika wao ni Omar Bunil Khatwab (R.a), inazungumzia pia mambo makubwa aliyo yafanya katika dini.
MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 1(Kiswahili)
2015-05-03
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa kwanza wao akiwa ni Abubakar Swidiq (R.a), pia imezungumzia uzito wa imani aliyokuwanayo Abubakar (R.a)
2015-05-02
Sehemu ya tatu katika muhadhara kwa anuani: Maisha ya Binadamu Duniani na Akhera, na kwa hakika kaendeleza mazungumzo kuhusu akhera na akataja ya kwamba ndio lengo kuu la Mumini kubwa kama alivyo tahadharisha kuzama katika maisha ya dunia na mapambo yake ili isimuondowe kuitafuta akhera na kufanya matendo kuhusu akhera.
2015-05-02
Sehemu ya pili katika muhadhara kwa anuani: Maisha ya Binadamu Duniani na Akhera, na kwa hakika kaendeleza mazungumzo kuhusu akhera na akataja ya kwamba ndio lengo kuu la Mumini kubwa kama alivyo tahadharisha kuzama katika maisha ya dunia na mapambo yake ili isimuondowe kuitafuta akhera na kufanya matendo kuhusu akhera.
2015-05-02
Sehemu ya kwanza katika muhadhara kwa anuani: Maisha ya Binadamu Duniani na Akhera, na kwa hakika kazungumzia kuhusu akhera na akataja ya kwamba ndio lengo kuu la Mumini kubwa kama alivyo tahadharisha kuzama katika maisha ya dunia na mapambo yake ili isimuondowe kuitafuta akhera na kufanya matendo kuhusu akhera.
2015-05-02
Miongoni mwa njia za kulingania katika hii dini ni kubainisha mazuri ya lio mengi ya kidunia na ya kiakhera ambayo hayajulikani hata na baadhi ya Waislamu na hili kwa Idhni ya Mwenyezi Mungu hupelekea kuingia katika Uislamu asie kuwa Muislamu, na kushikamana Muislamu na kujidai na dini yake, na katika muhadhara huu kuna ubainifu wa baadhi ya mema katika Uislamu.

2015-04-27
Mada ya kuona kwa lugha ya Amhari ikielezea kuwa na malengo katika huu Uhai, malengo yako yatakupelekea kuwa na uchangamfu na kuwa juu kwa sababu hiyo yafaa kwa kila Muislamu yawe malengo yake ya hali ya juu na mazuri kwa hilo mwanadamu atanyanyua nafsi yake.
2015-04-27
Mada ya kuona kwa lugha ya Nashalia imekusanya walivyo msifu Wanachuoni na wana Falsafa wasiokuwa Waislamu Duniani juu ya Muhammad (s.a.w) na juu ya Utu wake.
2015-04-23
Darda kuhusu uwepo wa bishara za Muhammd (s.a.w) katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil(German)
2015-04-23
Huu muhadhara umetolewa kwa kubainishwa ya kwamba Muhammad (s.a.w) umekuja utajo wake katika Injil kwa jina lake na sifa zake
LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.3(Kiswahili)
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Madhambi makubwa ya liwatwi na kusagana wanawake kwa wanawake yanayo fanyika katika ummat Muhammad (s.a.w).
LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.2(Kiswahili)
2015-04-09
Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya liwatwi anapata laana ya Allah, na pia inazungumzia Malaika waliokwenda kuangamiza kaumu Lutwi (a.s) watu wa Nabii Lutwi..