Kuonyesha Video ( 1101 - 1125 Katika jumla ya: 1290 )
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2(Kiswahili)
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1(Kiswahili)
2015-09-17
Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.
Umeingia vipi katika Uislamu?(Kingereza)
2015-09-07
Muhadhara mzuri kwa lugha ya kingereza umetolewa na Sheikh: Abdur Raheem Green kazungumzia kuingia kwake katika Uislamu myaka kadha iliyopita.
Kisa cha kuslimu Muamerika(Bosnian)
2015-09-07
Kijana wa Amerika akizungumzia namna alivyo silimu na maisha yake kabla ya kuslimu kwake.
Kurejea kwangu katika uislamu-4(Bosnian)
2015-09-07
Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?
Kurejea kwangu katika uislamu-3(Bosnian)
2015-09-07
Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?
Kurejea kwangu katika uislamu-2(Bosnian)
2015-09-07
Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?
2015-09-07
Katika sehemu ya pili ya muhadhara huu anaendelea sheikh kutoa mifano iliyo hai katika maisha ya Mtume (s.a.w), inayoelezea alivyo jitahidi katika kuwaacha huru wa tumwa, wale waliyokuwa hawana mbele wala nyuma.
2015-09-07
Uhuri ni haki ya msingi ya kila mtu, matokea yanayo athiri, toka baada ya kuzaliwa kwake tu Mtume (s.a.w), alifanya bidii na kuonyesha ya kwamba Uislamu ni haki ya binadamu na kuwa huru, utapata majibu hayo katika muhadhara huu sehemu ya kwanza.
Uislamu ni dini ya Huruma-7(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-6(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-5(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-4(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-3(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-2(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Uislamu ni dini ya Huruma-1(Malayalam)
2015-09-07
Muhadhara huu waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Huruma na kiongozi wake ni Nabii Muhammad (s.a.w), ambae ni Rehma kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote, na kila atakaye ishi katika ardhi hii yatakiwa awe na rehma.
Vipi utaingia katika Uislamu?(Bengali)
2015-09-07
video hii yaonyesha namna ya kuingia katika Uislamu, na kutoa Shahada.
Umuhimu wa Dini(Kingereza)
2015-09-05
Kazungumzia Sheikh Yusuf Istis katika video hii umuhimu wa Dini na akabainisha umuhimu wake kwa jamii na mtu mmoja mmoja, hakika ya dini kwa mwanadamu ni kama maji kwenye ardhi, yatapo kuwa maji ndiyo uhai wa ardhi basi dini kwa mwanadamu ndio uhai halisi.
Haki za muislamu(Spanish)
2015-09-05
Haki za muislamu: Hakika Muislamu anayo haki juu ya ndugu yake Muislamu, haki zimebainishwa na sheria tukufu, na muhadhara huu unakumbusha haki hizi amabzo yapaswa kwa kila Muislamu kuzifanyia kazi.
2015-09-05
Muda mchache ulio pita kaingia katika uislamu kwa sababu ya aliyo yapata ndani ya Qur-ani kwa ukweli uliyopo ndani yake na kuthibitisha mambo ya kisayanse kwa karne ya 20, mambo yalikuwa hayajulikani kabla ya hapo, msomi huyu alikuwa haamini kuwepo Mungu, na alikuwa haamini dini yoyote, lakini mwishoni kafahamu ya kwamba Uislamu ndio dini sahihi, akaingia, na yeye kwa sasa anamuomba Mwenyezi Mungu amfishe akiwa Muislamu.
Ubora wa Uislamu-3(Kifaransa)
2015-09-05
Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa tatu katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.
Ubora wa Uislamu-2(Kifaransa)
2015-09-05
Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa pili katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.
Ubora wa Uislamu-1(Kifaransa)
2015-09-05
Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa kwanza katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.
Maana ya uhai -5(German)
2015-09-05
Mada ya video inazungumzia yafuatayo:
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
Maana ya uhai -4(German)
2015-09-05
Mada ya video inazungumzia yafuatayo:
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?