Kuonyesha Video ( 1126 - 1150 Katika jumla ya: 1290 )
Maana ya uhai -3(German)
2015-09-05
Mada ya video inazungumzia yafuatayo:
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
Maana ya uhai -2(German)
2015-09-05
Mada ya video inazungumzia yafuatayo:
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
Ni nini Uislamu?(Kingereza)
2015-09-04
Maana ya Uislamu kwa ufupi na misingi yake na mema yake na hestoria yake tangu zama za Nabii Adam (s.a.w), hadi kwa Muhammad (s.a.w),
Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Maana ya uhai -1(German)
2015-09-04
Mada ya video inazungumzia yafuatayo:
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
1- Ni yepi malengo katika uhai?.
2- Kwa nini kaumbwa binadamu?
3- Vitu tutamjua Muumbaji?
Ni nini Uislamu?(Kingereza)
2015-07-22
Mada hii yatakiwa ionwe na waislamu kabla ya wengineo... ili wafahamu neema walionayo na waweze kujibu watapo ulizwa na yeyote, kwa sababu muislamu ni mlinganiaji.
WAKATI WA KUJIBIWA DUA KWA MWENYE KUFUNGA(Kiswahili)
2015-07-21
Mada hii inazungumzia: Wakati ambao mwenye kufunga akiomba dua anajibiwa na Allah, na inazungumzia pia ubora wa kumuomba na kumtegemea Allah (S.w)
Kwa nini nimeslimu?(Bosnian)
2015-07-20
Katika picha hii anaelezea namna historia yake na namna alivyo ingia katika uislamu.
Huu ndio Uislamu -3(Amharic)
2015-07-20
Sehemu ya tatu katika mhadhara wa video kwa lugha ya Amhari kwa anuani: Huu ndio uislamu, na katika muhadhara huu kabainisha mlinganiaji ya kwamba uislamu ni dini iliyo kamilika na kwamba unahimiza usafi, ukawekwa utaratibu wa kutawadha na hukumu maalumu kwa wanawake na mengineyo katika hukumu za kujitwaharisha.
Huu ndio Uislamu -2(Amharic)
2015-07-20
Sehemu ya pili katika muhadhara wa video kwa lugha ya Amhari kwa anuani: Huu ndio uislamu, na katika muhadhara huu kazungumzia mlinganiaji namna uislamu ulivyo himiza tabia njema kama kuunga udugu, na kwamba hakuna mbora juu ya mwengine isipokuwa kumcha Mwenyezi Mungu.
Huu ndio Uislamu -1(Amharic)
2015-07-20
Sehemu ya kwanza katika muhadhara wa video kwa lugha ya Amhari kwa anuani: Huu ndio uislamu, katika muhadhara huu kabainisha mlinganiaji badhi ya mema katika dini hii tukufu, na kwamba ndio dini ya kimaumbile ilio teremka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Ubora wa Uislamu(Azerbaijani)
2015-07-20
Uislamu ni dini bora kuliko dini zote duniani, uislamu unayo matendo bora kuliko dini zote duniani,
Kurejea kwangu katika uislamu-1(Bosnian)
2015-07-16
Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?
Muheshimiwa Mwanadamu!(Bosnian)
2015-07-16
Anasema mzungumzaji mwanzo wa maneno yake:
Naongea nawe kama mwanadamu, na wala sijali ukiwa mkristo, yahudi, hindusi, na wala sijali ukiwa waabudia masanamu, au huna dini, au mwenye dini, au mwenye kukanusha dini, ukiwa mwanamume au mwanamke, Jee! uliwahi hata siku moja kuiuliza nafsi yako sababu ya kuamini unacho itakidi, uliwahi kufikiria kwa hayo ulio yachagua na kuyafanya.
Naongea nawe kama mwanadamu, na wala sijali ukiwa mkristo, yahudi, hindusi, na wala sijali ukiwa waabudia masanamu, au huna dini, au mwenye dini, au mwenye kukanusha dini, ukiwa mwanamume au mwanamke, Jee! uliwahi hata siku moja kuiuliza nafsi yako sababu ya kuamini unacho itakidi, uliwahi kufikiria kwa hayo ulio yachagua na kuyafanya.
Maana ya uislamu(Kingereza)
2015-07-16
Picha ya kuona kwa lugha ya kingereza, anabainisha mlinganiaji Yusuf Astes kwa kifupi maana na hakika ya uislamu mtukufu.
Dalili za kwamba uislamu ni haki(Kingereza)
2015-07-16
Mrorongo wa mihadhara kwa dalili za kisheria na zakiakili kuonyesha ya kwamba uislamu ni haki na ndio dini ya manabii.
Kuingia katia uislamu(Yoruba)
2015-07-15
Video hii yaelezea jambo lakusisimua wakati bwana mmoja alipoingia katika uisilamu kupitia mlinganiaji Yusus Astes.
Ni nini Uislamu?(Kiarabu)
2015-07-15
Ujumbe unapendeza kuusikiliza hasa waislamu kabla ya wengine.. ili wajuwe neema waliyomo ndani yake na waweze kujibi watapo kuwa wakiulizwa, kwa sababu muislamu nimlinganiaji kwa mwengine.
2015-07-14
Video kwa lugha ya Amhari ikielezea makusudio katika uhai huu. kujua malengo yako yatapelekea kuwa na uchangamfu na kwa maana hiyo yatakiwa kwa kila muislamu awe na malengo ya hali ya juu.
2015-06-15
Katika kipindi hiki tunabainisha nguzo ya tano katika nguzo za Uislamu, nimlolongo katika vipindi vya sheikh Omar bin Abdallah Almuqbil- Allah amlipe kheri- kuhusu hijja na yanayo fungamana na hijja kuhusu hukumu mbalimbali na usio na muongozo, kwa toleo la wizara inayo shuhulikia mambo ya uislamu na ulinganiaji na maelekezo katika nchi ya saudi arabia mwaka 1434 هـ.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -7(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -6(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -5(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -4(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -3(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa kwa kubainisha ya kwamba nibii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa zake katika Injil.
Muhammad (s.a.w) katika Injil -2(German)
2015-06-15
Muhadhara huu umetolewa na kubainisha ya kwamba nabii Muhammad (sa.w), umekuja utajowake na jina lake na sifa yake katika Injil.