Kuonyesha Video ( 1226 - 1250 Katika jumla ya: 1290 )
UBORA WA KUTOA SADAKA(Kiswahili)
2014-12-16
Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.
UBORA WA KUMLEA YATIMA(Kiswahili)
2014-12-16
Mada hii inazungumzia ubora wa kumlea yatima na hatari ya kumdhulum, kumnyanyasa na kumtesa.
2014-12-16
Mada hii inazungumzia utofauti wa washirikina wa zama zetu na washirikina zamani
TAWASULU ISIYO YA KISHERIA(Kiswahili)
2014-12-16
Mada hii inazunguzia tawasulu iliyokatazwa na madhara yake.
TAWASWUL YA SHERIA(Kiswahili)
2014-12-16
Mada hii inazungumzia binadam kumuomba na kutegemea Allah pindi anapofikwa na matatizo.
2014-12-16
Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO2(Kiswahili)
2014-11-28
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO1(Kiswahili)
2014-11-28
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
Hukumu za swala(Kiswahili)
2014-11-14
Mada hii inazungumzia hukumu za swala,na hukumu za kusoma Alfatha,na jinsi ya kusoma katika swala,na viungo vinavyo sujudu na jinsi ya kusoma tahiyatu.na nafasi ya utulivu katika swala.
KIZUIZI CHA MWENYE KUSWALI(Kiswahili)
2014-11-14
Mada hii inazungumzia kuweka kiziwizi wakati wa kuswali,na namna ya kufanya akipita mtu mbele ya mwenye kuswali,na vitu venye kutengua swala vikipita mbele,na anaetakiwa kuweka kiziwizi.
KUOGA(Kiswahili)
2014-11-14
Mada hii inazungumzia kuoga,maana yake,na nyakati za wajibu kuoga,na jinsi alivyo oga mtume s.a.w,namna ya kuoga janaba, na hedhi na nifasi,ukumbusho muhimu.
Kupangusa juu ya kofu mbili(Kiswahili)
2014-11-14
Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia hukumu ya kupangusa juu ya khofu mbili.
Hukumu za Kutayamamu(Kiswahili)
2014-11-14
Mada hii inazungumzia hukumu za kutayamamu,maana yake,na hukumu yake na wakati wa kutayamamu,mwanzo wa kutayamamu na mwisho wake,na jinsi ya kutayamamu,na vinavyo haribu kutayamamu,
UMUHIMU WA MAHAKA YA KADHI WA KIISLAM(Kiswahili)
2014-11-14
MADA HII INAZUNGUMZIA UMUHIMU WA MAHAKAMA YA KADHI NA UMUHIMU WAKE.
MJA KUTO KUMJUWA MOLA WAKE NA ATHARI ZAKE(Kiswahili)
2014-11-14
Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia madhara ya mwanadamu kuto kumjuwa mola wake.
Namna ya kuswali(Kiswahili)
2014-11-05
Mada hii inazungumzia namna ya kuswali mwanzo mpaka mwisho,na maneno yakusema wakati wa kuswali.na adhkari baada ya swala.
Udhu(Kiswahili)
2014-11-05
Mada hii inazungumzia namna ya kutawadha, dua baada ya udhu, yanayotengua udhu, adabu za udhu na ibada zinazofanywa na mtu mwenye udhu.
UBORA WA SIKU YA ARAFA(Kiswahili)
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia ubora wasiku ya Arafa na maana ya siku ya arafa na neema kubwa ya Allah kwa waja wake katika siku ya Arafa.
UBORA WA SIKU KUMI ZA MFUNGO TATU(Kiswahili)
2014-09-08
Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya mfungo tatu,na sababu yakuyafanya yawe ora,na rehma ya Allah katika masiku hayo,na kufadhilisha Allah badhi ya viumbe vyake kwa vingine.
MIEZI MINNE MITUKUFU(Kiswahili)
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na ubainifu wake kwa majina,na malipo ya mwenye kutenda mema na maovu,na sababu ya kuitwa miezi hiyo,namatendo mema aliyo tuongoza mtume tuyafanye.
KHATARI YA KULA RIBA(Kiswahili)
2014-09-08
Khutba hii inazungumzia uhatari wakula riba na milango ya riba na adhabu za mla riba na uharamu wa kuwekeza katika mabenki ya riba na namna wanavyo patwa watu na vumbi la riba,na adhabu za mla riba.
HIV NIMARADHI AO NIADHABU?(Kiswahili)
2014-06-02
Mada hii inazungumzia ugonjwa wa ukimwi (HIV)niadhabu kutoka kwa Allah ao nimaradhi? na niipi tiba ya ukimwi baada ya kumsibu mwanadamu na kabla ya kumsibu mtu.
NDOA YENYE BARAKA(Kiswahili)
2014-06-02
Mada hii inazungumzia ndowa yenye Baraka katika uislam,na kheri zinazo letwa na ndowa yenye baraka.
MAMA NANI KAMA MAMA!(Kiswahili)
2014-06-02
MADA HII INAZUNGUMZIA FADHILA ZA MAMA NA HAKI ZA WAZAZI KWA UJUMLA NA MAMBO AMBAYO AKIYAFANYA MTOTO ANAKUWA AMEWATENGA WAZAZI WAKE.