Kuonyesha Video ( 1276 - 1290 Katika jumla ya: 1290 )
KUITUMIKIA DINI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.
FAHAMU JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI(Kiswahili)
2014-02-23
MADA HII INAZUNGUMZIA JINSI YA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI NA YANAYO PASA KWA KILA MUISLAM KUYAJUWA KABLA YA MWEZI WARADHANI KUMFIKIA.
Utukufu Wa Siku 10 Za Dhul Hijjah(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii imezungumzia Utukufu wa siku kumi za mfungo tatu na ubora wa kufanya ibada katika siku hazo.
Uislam Africa Mashariki(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia uhusiano wa africa na uislam,na watu wakwanza walio leta uislam africa mashariki,na ukarimu wa watu wa afrika mashariki.
Ruqya Ya Kisheriya(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ruqya ya kisheria na jinsi ya kutowa majini, na vipi jinni anaweza kumuingia mtu na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.
Miongoni Mwa Sifa Za Watu Wema(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hi inazungumzia sifa za watu wema na uwaijibu wa waislam kuwafuata watu wema.
Uchawi(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.
Swaumu Ya Ashuraa(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ubora wa swaumu ya ashuraa na utukufu wa allah wa kusamehe madhambi katika siku ya ashura.
Sababu Ya Kukufuru Wanadamu(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia sababu ya kukufuru wanadamu na kuiacha dini ya mwenyezi mungu na kuingia katika ushirikina.
Nini maana ya uchawi na majinni ?(Kiswahili)
2013-12-26
Nini maana ya uchawi na majinni, vipi jinni anaweza kumuingia mtu, na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.
Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.
Hukumu Ya Kuchinja(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia kuchinja na hukumu yake na hukumu ya kuchinja kwaajili ya mizimu na na mashetani ao makaburi.
Jinsi Ya Kumuadhimisha Mtume(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia namna ya kumtukuza mtume s.a.w.na kumuheshimu mtume na taratibu za kumtakia rehma.
Hukumu Ya Kusherehekea Chrismas(Kiswahili)
2013-12-26
Mada hii inazungumzia hukumu ya kusherehekea Chrismas na mwaka mpya na kupeyana zawadi ao kupongezana.