Kuonyesha Video ( 201 - 225 Katika jumla ya: 1096 )
Araheeq Al-Makhtum 25
2016-09-23
Mada hii inaelezea namna Abuu Jahl alivyokuwa akimchukia Mtume Muhammad (s.a.w) na maudhi aliyokuwa akimfanyia.
Araheeq Al-Makhtum 24
2016-09-23
Mada hii inaelezea namna mke wa Abuu Lahab kumchukia Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 23
2016-09-23
Mada hii inaelezea chuki za Abuu Lahab kwa Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 22
2016-09-23
Mada hii inaelezea ya kwamba uislam ni dini ya Allah na siyo dini ya mtu au kabila.
Araheeq Al-Makhtum 21
2016-09-23
Mada hii inawaelezea Maquresh kwa Abuu Twalib na namna walivyomfitini ili aache kunusuru Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 20
2016-09-23
Mada hii inamuelezea Abuu Twalib alipo mnusuru Mtume Muhammad (s.a.w) na kumpa msimamo.
Araheeq Al-Makhtum 19
2016-09-23
Mada hii inaelezea vitisho vya Maquresh kwa Abuu Twalib kwajili ya mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 18
2016-09-23
Mada hii inaelezea kisa cha kundi la Maquresh walivyoenda kumshitaki Mtume Muhammad (s.a.w) kwa Abuu Twalib.
Araheeq Al-Makhtum 17
2016-09-23
Mada hii inaelezea chuki za makafiri kwa waislamu na imeelezea baadhi ya mifano.
Araheeq Al-Makhtum 16
2016-09-23
Mada hii inaelezea namna Maswahaba (r.a) walivyotoa mali zao kwa ajili ya Allah, mfano wa Abubakar Swiddiq na wengineo.
Araheeq Al-Makhtum 15
2016-09-23
Mada hii inatahadharisha juu ya kuwadharau Maswahaba na imezungumzia namna alivyo silimu Swahaba mwanamke Zinirah (r.a).
Araheeq Al-Makhtum 14
2016-09-23
Mada hii inaelezea mashaka waliyoyapata Maswahaba katika njia ya Allah na namna walivyo fanya subra.
Araheeq Al-Makhtum 13
2016-09-23
Mada hii inaelezea subra aliyoifanya Swahaba Bilal bin Rabaah kwa ajili ya Allah.
Araheeq Al-Makhtum 12
2016-09-23
Mada hii inaelezea faida zinazopatikana katika kisa cha Swahaba Suhaib Alrumi na umuhimu wa kufanya subra kwa ajili ya Allah.
Araheeq Al-Makhtum 11
2016-09-23
Mada hii inaelezea kisa cha Swahaba Suhaibu Alrumi Allah amridhie na namna alivyoteseka kwajili ya Allah.
Araheeq Al-Makhtum 10
2016-09-23
Mada hii inaelezea subra waliyofanya Maswahaba katika kutetea Uislam.
Araheeq Al-Makhtum 09
2016-09-23
Mada hii inawaelezea Maswahaba walioteswa kwajili ya Allah na mafunzo waliyo yapata kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 08
2016-09-23
Mada hii inaelezea uharamu wa kuwatukana Maswahaba na inatahadharisha kukaa kwenye vikao ambavyo vinawazungumzia vibaya maswahaba.
Araheeq Al-Makhtum 07
2016-09-23
Mada hii inaelezea mateso walio yapata maswahaba na waislam walio tangulia na wa leo na jinsi kusoma jinsi walivyo teseka kwajili ya allah.
Araheeq Al-Makhtum 06
2016-09-23
Mada hii inaelezea mbinu ambazo zinatumiwa na makafiri ili kuwapoteza wislamu na kuwaweka mbali na Qur’an.
Araheeq Al-Makhtum 05
2016-09-23
Mada hii inaelezea miongoni mwa mbinu za Maqureshi katika kuzuia ujumbe wa Allah aliopewa Mtume (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 04
2016-09-23
Mada hii inaelezea namna Maqureshi walivyo mtuhumu Mtume (s.a.w) kuhusu utume wake pia imzungumzia ubaya wa shubha na husda.
Araheeq Al-Makhtum 03
2016-09-23
Mada hii inaelezea maana ya shubha, na imesisitiza waislamu juu kujiepusha na shubha.
Araheeq Al-Makhtum 02
2016-09-23
Mada hii inaelezea maudhi waliyo fanyiwa Mitume (s.a.w), na imezungumzia umuhimu wa kujipamba na tabia njema.
Araheeq Al-Makhtum 01
2016-09-23
Mada hii inaelezea kuwa ukwelli unaweza kuonekana baada yakutokea jambo la kuhuzunisha au lakuskitisha, na kisa cha Mtume mussa kimeelezea mfano wa hali hiyo.
Go to the Top