Kuonyesha Video ( 151 - 175 Katika jumla ya: 1096 )
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (19)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Khatari ya madhambi, na ametaaja baadhi ya sababu za tawba, kisha akabainisha ahadi ya Shetani ya kuwapoteza wanadamu.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (18)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Kwamba Allah anasamehe madhambi yote, kisha ameelezea viziwizi vya tawba, na yanayo mfaa mtu baada ya kufa.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (17)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: hali ya Mtume alayhi salaam katika tawba kisha amebainisha sababu za tawba.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (16)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za kukubaliwa tawba nikurejesha haki za watu, kisha amebainisha aina ya haki za watu: Heshima za watu au mali zako
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (15)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Sharti za tawba yakweli, kisha ameelezea uwajibu wa kushikamana na ibada kwa marais na wafalme na maaskari.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (14)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: tiba ya madhambi na maasi katika suratu Tahreem, kisha ameelezea maana ya Tawba na umuhimu wake.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (13)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufanya kheri kabla ya muda kumalizika, kisha ameelezea kuwa binadamu na watu ndio kuni za moto wa jahanam.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (12)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Uwajibu wa mtu kuiokoa nafsi yake kabla ya watu wengine, kisha imeelezea khasara ya mashekh na walinganiaji wanao khalifu dini siku ya Qiyama.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (11)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuulea moyo, na kwamba moyo ndio mashine inayo muendesha mtu, kisha ameelezea malezi katika Suratu Tahriim.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (10)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: miongoni mwa tiba ya ususuwavu wa moyo ni kuwa na elimu kisha akabainisha faida za elimu katika uislam
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (09)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: miongoni mwa faida ya kumuamini Allah ni kupata utulivu wa moyo, kisha akaelezea faida za kuwa na utulivu.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (08)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: tiba ya ususuwavu wa moyo, ikiwemo Kumuamini Allah na daraja za kumuamini Allah, kisha akabainisha kuwa imani ndio msingi wa maisha bora
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (07)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: madhara ya kuto kuifuata Quraan pia ameelezea madhara ya kuwazulia watu, na akamalizia kwa kuelezea maana ya kufilisika.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (06)
2017-01-21
Malezi ya kiisla katika Quraan amebainisha Asili ya dini ya mwanadamu, kisha amebainisha kuwa Allah hawaongozi watu wauvo.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (05)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: neema ya Qur’an na Uharam wa shirki na maana yake kisha akabainisha watu wakwanza kuulizwa siku ya Qiyama.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (04)
2017-01-21
Katika malezi ya uislam katika Qurani madhara ya kuwa na moyo mgumu, na ubaya wa kujifananisha na mayahudi, kisha amebainisha sababu ya kuto nufaika na Qur’an.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (03)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, kisha akabainisha umuhimu wakuitafuta pepo na kuipa nyongo dunia.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (02)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Misingi ya matendo mazuru na masharti ya matendo mema, kisha akabainisha ufupi wa umri wa Ummat Muhamad.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (01)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa malezi ya kiislamu katika jamii, pia imezungumzia, lengo la kuumbwa kwa mwanadam na kuletwa duniani.
Hukumu ya Maulidi Katika Uislamu
2016-12-14
Mada hii inazungumzia: Ijue siku aliyo zaliwa Mtume s.a.w na jambo alilokuwa akifanya katika siku hiyo, pia wajue walio anzisha Maulidi.
Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 9
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Ushahidi kutoka katika vitabu vya mashia ya kwamba wao Mashia ndio waliomua Hussein bin Ally (r.a) Allah awalaani mashie na awaangamize.
Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 8
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Yaliyojiri baada ya Hussein bin Ally (r.a) kufika Karbala kabla ya kuuliwa mpaka kifo chake.
Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 7
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Safari ya Hussein bin Ally (r.a) kwenda Iraq iliyopelekea kifo choke, pia imeelezea uzito wa Qadari ya Allah.
Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 6
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Historia ya chanzo cha kifo cha Hussein bin Ally (r.a), pia imeelezea shari na fitna za Mashia.
Ukweli Kuhusu ’Ashuraa na Kifo cha Hussayn Radhiya Allaahu Anhu 5
2016-10-03
Mada hii inazungumzia: Madai ya uongo ya Mashia ya kwamba katika Qur’an kuna Aya ilishuka kwa ajili ya Ally, Hassan na Hussein (r.a).
Go to the Top