Kuonyesha Video ( 101 - 125 Katika jumla ya: 1096 )
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 083
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kujiepusha na sifa mbaya, pi a, imeelezea ubora wa kuwasaidia wenye shida na mafukara
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 082
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Kuacha swala na sababu ya kuporomoka kwa maadili katika zama zetu, pia imeelezea jinsi baadhi ya wanawake wanavyo chupa mipaka
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 081
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Alama za watu wema hapa duniani, pai imeelezea umuhimu wa kujipamba na sifa ya ucha Mungu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 080
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa swala ya Qiyamu layli (Tahajud), pia imeelezea sifa za waumini wa kweli
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 079
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuswali swala ya Taraweh, pia imeelezea maana ya sunna ya Qiyamu layli (Tahajud)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 078
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Swala ya Taraweh namna alivyoiswali Mtume (s.a.w) na Maswahaba zake, pia imeelezea umuhimu wa swala ya Taraweh
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 077
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Umuhumu na ubora wa swala ya Dhuhaa, pia imezungumzia idadi ya rakaa ya swala ya Dhuhaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 076
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Nafasi na wakati wa kusoma dua ya Kunuti katika swala, pia imeelezea wasia wa Mtume (s.a.w) aliomuusia Omar Bin Khatwab
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 075
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Makemeo ya juu ya wale wenye kuswali wakati na muda wanaotaka, pia imeelezea kuwa mwenye kuacha swala ni kafiri
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 074
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Swala ndio ulikuwa wasia wa mwisho aliousia Mtume (s.a.w) kabla ya kufa kwake, pia imeelezea namna amana ilivyo potea
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 073
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama, pia imeelezea umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 072
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Nafasi na daraja ya swala katika uislamu, pia imeelezea namna maasi yalivyo kithiri kutokana na watu kuacha swala
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 071
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Mambo yote yaliyo ya sunna katika swala, pia imeelezea namna ya kusujudu kwa wanawake
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 070
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Mambo yaliyo ya wajibu katika swala pamoja na sunna za swala, pia imeelezea hukumu ya sijda ya kusahau kwa maamuma
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 069
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Mambo matano yanayo patikana katika swala, pia imeelezea hukumu ya kusahau jambo la wajibu katika swala
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 068
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Tahiyatu ya mwisho pamoja na kumswalia Mtume (s.a.w), pia imeelezea mambo kumi na nne ambayo ni nguzo za swala kama ilivyo thibiti
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 067
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Namna ya kusujudu juu ya viungo saba, pia imeelezea umuhimu wa mtu kuwa na utulivu katika nguzo zote za swala
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 066
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Tofauti ya nguzo, sharti na wajibu katika swala, pia imeelezea umuhimu wa kuijua Qur’an na kuisoma dini ya Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 065
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuchunga na kutekeleza nguzo na sharti za swala, pia imeelezea juu kusoma Suratul Fat’ha nyuma ya Imamu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 064
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo haribu swala ya mtu, pia imeelezea hatari ya kufanya mchezo katika swala
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 063
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kuiendea swala na hali umekula kitunguu, pia imeelezea umuhimu wa kujiepusha na mambo yenye kukera watu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 062
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwa na utulivu katika swala, pia imeelezea makatazo ya kurukuu kabla ya kufika katika swafu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 061
2017-03-21
Mada hii inazungumzia: Makatazo juu ya kutema mate ndani ya msikiti, pia imeelezea makatazo ya kujizuia kutokana na haja ndogo au kubwa wakati wa swala
Acha Athari Njema 10
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu umuhimu wa kufuata walio tutngulia kwa wema, ili wajifunze watoto wetu kutokana na matendo yetu mema.
Acha Athari Njema 09
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu umuhimu wa kuchukua takwimu kwa tunayo yafanya ili tuzidishe kuacha Athari baada ya kufa.
Go to the Top