Kuonyesha Video ( 251 - 275 Katika jumla ya: 1096 )
Hukumu Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Tofauti katika kutwaharisha mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike ambao hawajaanza kula chakula isipokua maziwa ya mama.
Pombe Ni Haramu
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Kunywa pombe ni haramu kwa dalili zote, pia imeelezea baadhi ya dalili za unajsi wa pombe.
Kuosha Au Kukwangua Manii
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Maana ya kukwangua manii, pia imeelezea mwenye kutokwa na manii atatakiwa kuoga janaba, ama yaliyodondokea katika nguo inafaa kuonsha na maji au kukwangua.
Matumizi Ya Ngozi Ya Mnyama Aliyekufa Baada Ya Kusafishwa
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Ufafanuzi kamili juu ya utwahara wa ngozi ya mnyama aliyekufa, pia imezungumzia umuhimu wa jambo hilo kwa zama hizi tulizo nazo.
Maziwa Na Mkojo Wa Ngamia
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Kujitibu kwa maziwa na mkojo wa ngamia, na hii ni dalili kuwa ute, mate na mkojo wa mnyama anayeliwa siyo najsi.
Mtume (s.wa.) Kutumia Chombo Cha Kafiri
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Kuswihi kutumia vyombo vya makafiri kwa dalili kuwa Mtume (s.a.w) alitumia chombo cha mama mmoja mshirikina (kafiri).
Sifa Ya Udhu Wa Mtume (s.a.w)
2016-05-25
"Mada hii inazungumzia: Utaratibu na namna ya kutawadha kama alivyotawadha Mtume (s.a.w). kama ilivyo kuja katika hadithi ya Humran(r.a)
Pia amezungumzia ubora wa swala baada ya Udhu."
Matumizi Ya Ngozi
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya Mama wa waumini Maimuna (r.a) Mke wa Mtume (s.a.w), pia imezungumzia mchanganuo wa kuisafisha ngozi ya mnyama aliyekufa.
Udhu Wa Mtume (s.a.w)
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Namna Othman (r.a) alivyofundisha udhu wa Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kufuata Sunna za Mtume (s.a.w).
Tofauti Kati Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike katika kutwaharisha, ambapo kwa mtoto wa kiume unanyunyizia maji, wa kike unafua.
Sharti Za Kutumia Vyombo Visivyokuwa Vya Waislamu
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kutumia vyombo visivyokuwa vya waislamu, pia imezungumzia Historia fupi ya Swahaba Abuu Thaalaba (r.a.w).
Nguo Yenye Athari Ya Manii
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kuswalia nguo yenye athari ya manii, pia imezungumzia nistoria ya Mama wa waumini Aisha (r.a).
Namna Ya Kusafisha Ngozi ya Mnyama Aliyekufa (Kudibaghi)
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuisafisha (kuidibaghi), pia imezungumzia jinsi na namna ya kuisafisha.
Namna Ya Kuondoa Doa La Damu Ya Hedhi
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Namna ya kuondoa damu ya hedhi iliyoganda katika nguo, pia imezunguzia jinsi ya kubadilisha rangi ya damu ya hedhi iliyoganda katika nguo.
Namna Mtume (s.a.w)  Alivyotumia Chombo Cha Kafiri
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya safari ya Mtume (s.a.w) na Maswahaba (r.a) na jinsi walivyokutana na mwanamke mshirikina akiwa na maji wakayatumia yale katika kumywa na kutawadha.
Uharamu Wa Kutumia Vyombo Vya Dhahabu Na Fedha
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mama wa waumini Ummu Salamah (R.A) mpokezi wa hadith ya uharamu wa kutumia vyombo vya dhahabu na fedha.
Wanyama Wanaofaa Kusafishwa Ngozi Zao (Kudibaghi)
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Maana ya Kudibaghi ngozi ya mnyama, pia imefafanua wanyama wanaofaa kusafisha ngozi zao (kudibaghi au kutwaharisha).
Utwahara Wa Ngozi Baada Ya Usafi Maalum
2016-05-25
Mada hii inazungumzia:. Faida ya matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kutwaharishwa, pia imezungumzia kauli ya Mtume (s.a.w) juu ya uhalali wa jambo hilo.
Ute Na Mate Ya Mnyama Anayeliwa
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Utwahara wa ute na mate ya mnyama anayeliwa kisheria, pia imezungumzia namna ute wa ngamia ulivyo mmiminikia Swaha (r.a).
Unajsi Wa Nyama Ya Punda Wa Kufugwa
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kula nyama ya punda na kwamba ni najsi, pia imeelezea mwaka ambao ilikatazwa kula nyama ya punda wa kufugwa.
Umuhimu Wa Kupiga Mswaki Kabla ya Kila Swala
2016-05-25
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Sunna ya kupiga msawaki, pia imeelezea nyakati muhimu na bora zaidi kwa mtu kupiga mswaki.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 60
2016-05-24
Mada hii inazungumzia: Mambo ambayo yakifanywa ndani ya swala yanapunguza ukamilifu wa swala, pia imeelezea hatari ya kufanya mchezo katika swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 59
2016-05-24
Mada hii inazungumzia: Swala ndilo jambo la kwanza kuhesabiwa siku ya Qiyama, pia imeelezea umuhimu na ubora wa swala za sunna.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 58
2016-05-24
Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) alikuwa akileta tasbihi baada ya swala kwa mkono wake wa kulia, pia imeelezea Dua aliyokuwa akiomba Mtume (s.a.w).
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 57
2016-05-24
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa nyiradi zilizothibiti kwa Mtume (s.a.w) pia imezungumzia hatari ya kwenda kinyume na sunna za Mtume (s.a.w).
Go to the Top