Kuonyesha Video ( 301 - 325 Katika jumla ya: 1096 )
Adabu Za Safari Katika Uislamu 2
2016-04-26
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyokua akianza safari na dua aliyokuwa akisoma wakati akitoka nyumbani.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 1
2016-04-26
Mada hii inazungumzia: Adabu za safari katika uislamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuheshimu vipando na kuwahurumia wanyama tunaowatumia katika kubeba mizigo.
Safari Ya Mwisho 16
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Mtihani wakati wa kukata roho, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba mwisho mwema, na kujikinga kwa Allah na adhabu za kaburi.
Safari Ya Mwisho 15
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umauti uko mbele ya kila mtu na hayakimbiliki, pia imeelezea juu ya kujiaandaa kwa matendo mema kabla ya umauti.
Safari Ya Mwisho 14
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuyazuru makaburi ili kujikumbusha na akhera, pia imeelezea kuwa hakuna atakaeishi milele katika hii dunia.
Safari Ya Mwisho 13
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Kujianda na safari ya akhera ni kwa kutoa mali katika njia ya Mwenyezi Mungu, pia imeelezea ubora wa kuwalea mayatima.
Safari Ya Mwisho 12
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kudumu katika kusoma Qur’an tukufu ili kujitengenezea njia nzuri akhera, pia imeelezea ubora wa kuamrisha mema na kukataza maovu.
Safari Ya Mwisho 11
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Siku ambayo watu wote watarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia hasara ya wale wanaoabudu kisichokua Mwenyezi Mungu.
Safari Ya Mwisho 10
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Duniani wote tunapita na kila mtu ataulizwa kutokana na matendo yake, pia imezungumzia mtu bora mbele ya Allah ni mcha Mungu.
Safari Ya Mwisho 09
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuishi kwa kufuata mfumo wa kiislamu na kumuogopa Allah katika siri na bayana, pia imezungumzia hatari ya ubaguzi katika uislamu.
Safari Ya Mwisho 08
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kumcha Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia ulazima wa kuchunga mipaka ya Mwenyezi Mungu.
Safari Ya Mwisho 07
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kudumu katika kufanya matendo mazuri, pia imezungumzia kujiandaa kutokana na safari ya mwisho (umauti).
Safari Ya Mwisho 06
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kuangalia na kuzingatia namna alivyopatikana kutokana na tone la manii.
Safari Ya Mwisho 05
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Hatuwa za kuumbwa mwanadamu na jinsi zinavyo badilika mbegu (manii) mpaka kufikia kuwa kiumbe hai, pia imeelezea, viza vitatu anavyopitia mwadamu.
Safari Ya Mwisho 04
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Asili atokanayo mwanadamu, pia imeelezea malipo ya wenye kumuamini Mwenyezi Mungu bila ya kuzichanganya imani zao na shirki
Safari Ya Mwisho 03
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Maisha ya Nabii Adam (a.s) baada ya kuondolewa Peponi, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwongozo wa Allah katika maisha.
Safari Ya Mwisho 02
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kuumbwa kwa Mama yetu Hawa (a.s), pia imezungumzia namna Babayetu Adamu na Hawa walivyo shawishiwa na ibilisi peponi.
Safari Ya Mwisho 01
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Safari ya mwisho na maana yake na kwamba kila safari lazima iwe na mwanzo, pia imeelezea historia fupi ya kuumbwa kwa Nabii Adam.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 50
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa tahiyyatu na aina za matamshi ya tahiyyaatu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 49
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa kikao baina ya sijida mbili na maneno yanayosemwa katika kikao hicho.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 48
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa Imamu kuchunga haliza za maamuma wake katika swala, pia imezungumzia ubaya wa kuswali haraka bila ya utulivu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 47
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna alivyokuwa akisoma Mtume (s.a.w) katika swala, pia imeelezea kisimamo cha Mtume (s.a.w) katika swala zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 46
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Mambo yaliyotofautiana katika rakaa ya kwanza na ya pili, pia imezungumzia suala la kutikisa kidole katika tahiyyatu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 45
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kujiepusha na mkao wa mbwa katika sijida, pia imezungumzia sehem nne zinazofaa kuinua mikono ndani ya swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 44
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kusujudu baada ya kuitidali kutoka katika rukuu, pia imeelezea viungo saba katika sijida.
Go to the Top