Kuonyesha Video ( 126 - 150 Katika jumla ya: 1096 )
Acha Athari Njema 08(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu Umuhimu wa kushindana katika kufanya khairat na niwajibu kwetu kuacha kwa ajili ya vizazi vyetu Athari njema.
Acha Athari Njema 07(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu mifano ya watu walio acha athari njema akiwemo Shekh Muhamad Omar Al Amudy aliye anzisha nidham ya kusoma shule na madrasa islamiya kwa wanafunzi.
Acha Athari Njema 06(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu baadhi ya mifano ya watu wema walioacha athari njema kama ShekhAbdallah Farsi Mtunzi wa Tafsiri ya ya Quran Tukufu kwa lugha ya kiswahili.
Acha Athari Njema 05(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu ibn umar R.A katika wengi wa kupokea hadithi za mtume na kumfata sunna zake.
Acha Athari Njema 04(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu athari za utawala wa Khalifa Abubakr R.a na Makhalifa wengine Allah awaridhie.
Acha Athari Njema 03(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu sulhu ya hudeibiya,baada ya kufa kwa Mtume S.a.w na khutba ya Khalifa wa kwanza katika Uislam Abubakr R.a.
Acha Athari Njema 02(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu athari ilio patikana kwa waislam baada ya ushindi katika vita vya badr huko madina.
Acha Athari Njema 01(Kiswahili)
2017-03-20
Mada hii Inaelezea kuhusu kuangalia njia nzuri ya athari kuacha Athari nzuri kama alivyo iacha Mtume s.a.w. na Maswahaba zake r.a.
SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 4(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa nne kwamba washirikina wa zama hizi wana shirki kubwa kuliko wa zamani.
SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 3(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa tatu ambao ni hali ya watu wakati wa kutumwa mtume alayhi salaam.
SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 2(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Msingi wa kwanza kwamba kuamini Rububiyah hakumfanyi mtu kuwa Muislam, na wa pili, kwamba Maquraishi walikuwa wakiabudu masanamu ili yawakuribishe kwa Allah.
SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 1(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Umuhimu wa Tawhid na faida zake na umuhimu wa kusoma misingi yake.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (32)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Alama za kukubaliwa tawba, kisha amebainisha hali ya malaika katika kuandika mema na maovu kwa mwanadamu.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (31)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mwenye kutubiya ana inufaisha nafsi yake, na tawba nisababu ya kupata rizki.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (30)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mambo ya wajibu kwa muislam baada ya kufanya tawba, kisha imebainisha kuwa Allah anafurahi tawba ya mja na anaikubali.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (29)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: kwamba mwenye kutubia Allah anabadilisha maovu yake kuwa mema, kisha ameelezea khatari ya madhambi makubwa.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (28)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Matunda ya tawba, na ameeleza kuwa tawba nisababu ya mafanikio katika dunia na akhera.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (27)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: namna walivyo tubiya mitume wa Allah kama nabii Yunus alayhi salaam, kisha akabainisha kuwa mja kuacha kutubiya ni kuidhulumu nafsi yake.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (26)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: kuwa bawba ni njia ya Mitume, kisha amebainisha kuwa uadui wa Shetani na mwanadamu ulianza tangu kwa Adamu alayhi salaam.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (25)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: katika malezi ya qur’an nikutend yale yanayo mridhisha Allah, kisha amebainisha kwamba mtu atafufuliwa na Yule anae mpenda.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (24)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: sababu za kuingia peponi, kisha amebainisha uwajibu wa kusambaza elimu na kubainisha haki.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (23)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: nivipi mja atamshukuru Mola wake, na nivipi motto atawashukuru watoto wake, kisha akabainisha sifa ya mtume katika kumshukuru Mola wake.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (22)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: sababu za tawba, katika hizo sababu: ni kwasababu Allah ni mwingi wa kukubali tawba, na kwakuwa Mtume anaitwa mtume wa tawba, kisha akabainisha maana ya mnafiki.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (21)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: Khatari ya kughafilika, na hali za watu katika hali ya kughafilika, kisha akabainisha kuwa akhera nibora kuliko dunia.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (20)(Kiswahili)
2017-01-21
Mada hii inazungumzia: mawakala wa shetani katika wanadamu, nao niwale wanao wafanyia mipango watu wa maasi ya kuzini na riba na mengineyo, kisha akabainisha kuwa kinga ya dhambi ni tawba