Kuonyesha Video ( 526 - 550 Katika jumla ya: 1096 )
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 25(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwaelekeza watoto na kuwafundisha dini wakiwa na umri wa miaka saba, pia imezungumzia uzito wa swala na umuhimu wa kuisimamisha katika maisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 24(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Maana ya swala kilugha na kisheria, pia imezungumzia umuhimu wa kusoma dini na kusimamisha swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 23(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kufaradhishwa kwa swala tano, pia imezungumzia jinsi nyakati za swala tano zilivyo pangwa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 22(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Ulazima wa swala tano juu ya kila muislamu, pia imezungumzia mambo yasiyofaa katika swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 21(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Kutayamamu na ni wakati gani mtu anatakiwa kutayamamu, pia imezungumzia mambo yanayo tengua tayamamu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 20(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna ya kupaka maji juu ya khofu, sox, piopio na bandeji wakati wa kutawadha, pia imezungumzia sharti za kupaka.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 19(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Mambo muhimu kwa muislamu kuyajua ambayo ni Sharti za udhu, faradhi za udhu na Sunna za udhu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 18(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Ubora na faida za udhu, pia imezungumzia mambo ya uzushi katika udhu (kutawadha).
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 17(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo tengua udhu ni mtu kumgusa mwanamke kwa matamanio.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 16(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Kutawadha baada ya kula nyama ya ngamia, pia imezungumzia baadhi ya mambo yanayo tengua udhu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 15(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Mtu kuwa na mashaka (wasiwasi) wakati wa kutawadha, pia imezungumzia namna ya kuondoa shaka na wasiwasi.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 14(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Aina za udhu pia imefafanua juu ya kuswali swala tofauti kwa udhu mmoja au kutawadha kila swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 13(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutumia maji machache na kujiepusha na israfu wakati wa kutawadha, na kwamba maji ni neema kutoka kwa Allah.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 12(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kupiga mswaki kabla ya kutawadha, pia imezungumzia adabu za kiislam katika kila jambo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 11(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Utaratibu sahihi wa kutawadha tangu kuandaa maji mpaka kumaliza kutawadha miguu miwili kama alivyofanya Mtume (s.a.w).
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 10(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kupaka maji kichwani kwa mtu aliyefunga kilemba wakati wa kutawadha, pia imefafanua namna ya kuosha miguu mpaka katika kongo mbili.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 09(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna gani Mtume (s.a.w) alipaka maji kichwani wakati wa kutawadha, pia imefafanua ni jinsi gani aliosha masikio.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 08(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kuosha uso wakati wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kuosha mikono mpaka katika viwiko viwili.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 07(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna ya kuosha vitanga vya mikono wakati wa kutawadha, pia inafafanua namna ya kusukutua na kupandisha maji puani.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 06(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kutia niya na kusema bismi Llahi wakati wa kutawadha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 05(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na uwajibu wa kueneza udhu katika viungo, pia imezungumzia unyenyekevu katika swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 04(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na umuhimu wa kusoma na kujua alivyotawadha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia ubora wa rakaa mbili Sunnat Al-wudhuu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 03(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na namna Mwenyezi Mungu anavyo mfutia madhambi mja wake kwa sababu ya udhu (kutawadha),
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 02(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Fadhila za udhu na daraja anayopata mtu aliyetawadha kisha akatembea kuelekea msikitini, na kwamba udhu ndio ufunguo wa swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 01(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna ya kutawadha kama alivyo tawadha Mtume (s.a.w) kutokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).