Kuonyesha Video ( 551 - 575 Katika jumla ya: 1096 )
Pepo na Moto 25(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyo wapigia Maswahaba mifano ya njia Peponi naya Motoni, pia imezungumzia uwajibu wa kuizuia nafsi kufanya maasi.
Pepo na Moto 24(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Mtu wa kwanza kuingia Peponi, na watu watakao fatiaa, pia imezunguzia hatari za kula na kufanya mambo ya haram.
Pepo na Moto 23(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Malipo ya wenye kutekeleza maamrisho ya Myenyezi Mungu na wakafuata Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).
Pepo na Moto 22(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sifa za watu wa Peponi na sifa za watu wa Motoni, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na sifa za makafiri, na wanafki na washirikina.
Pepo na Moto 21(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu watakao irithi Pepo ya Allah, pia imezungumzia juhudi waliyoifanya Maswahaba katika dini mpaka wakabashiriwa Pepo wakiwa hapa duniani.
Pepo na Moto 20(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Asiyeamini Pepo na Moto hana imani na siyo muislamu, pia imezungumzia miongoni mwa sifa za watu wa Peponi.
Pepo na Moto 19(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni wa neema za Peponi ni wanaweke wazuri sana (Mahurul-aini) pia imezungumzia wanawake wema wa duniani watakavyo kuwa Peponi.
Pepo na Moto 18(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Watu watakao lipwa malipo mema Peponi, pia imezungumzia umuhimu kwa muislamu kuzidisha kufanya mambo mema duniani.
Pepo na Moto 17(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Aina ya mito iliyoko Peponi, pia imezungumzia vinywaji mchanganyiko vilivyoandaliwa kwa ajili ya watu wa Peponi.
Pepo na Moto 16(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni mito inayopita chini yake, pia imezungumzia msamaha watakao pewa na Allah watu wa Peponi.
Pepo na Moto 15(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni matunda yenye ladha nzuri, pia imezungumzia mitende na makoma manga ya Peponi.
Pepo na Moto 14(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni harufu ya Miski, pia imezungumzia namna ulivyo mkunazi wa Peponi.
Pepo na Moto 13(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Vyumba vilivyoko Peponi wameandaliwa waumini wenye maneno mazuri, pia imezungumzia ubora wa ukweli na uharam wa uongo.
Pepo na Moto 12(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Sifa za pepo na vilivyomo, pia imezungumzia nyumba na vyumba viliyoko katika Pepo.
Pepo na Moto 11(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Daraja ya juu ya Pepo na walioandaliwa daraja hilo, pia imezungumzia tabu ya kupita katika Swiratwi na raha ya kuivuka.
Pepo na Moto 10(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Daraja za Pepo na sifa za wtu wa Peponi, pia imezungumzia namna watakavyokuwa watu wa Peponi.
Pepo na Moto 09(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna ilivyo milango ya Pepo na upana wke, pia imezungumzia kwamba subra ni katika sababu za kumfanya aipate Pepo.
Pepo na Moto 08(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Milango nane ya Peponi na watakaoingi katika milango hiyio, pia imezungumzia kuwa ibada ndio zinazo wapelekea watu kuingia Peponi.
Pepo na Moto 07(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Pepo ya A’dni Allah ameiumba kwa Mkono Wake, pia imezungumzia miongoni mwa neema za Peponi.
Pepo na Moto 06(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Pepo imezungukwa na yanayo mkera mja, na Moto umezungukwa na starehe, pia imezungumzia muhimu wa kujitahidi kufanya ibada na kuacha starehe na maasi.
Pepo na Moto 05(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Pepo iko juu na Mwenyezi Mungu ameshaiumba inasubiri watu wake, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba Pepo ya juu zaidi (Firdaus).
Pepo na Moto 04(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa majina ya Pepo, pia imezungumzia namna watu watavyoingia Peponi kwa rehma za Alla.
Pepo na Moto 03(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa watu wa Peponi, pia imezungumzia namna watu wa Peponi watakavyo muona Allah (S.w).
Pepo na Moto 02(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Namna Mwenyezi Mungu alivyoiumba Pepo na vilivyo ndani yake, pia imezunguzia jinsi walivyo umbwa wanawake wa Peponi.Alla tuingize peponi.
Pepo na Moto 01(Kiswahili)
2016-03-08
Mada hii inazungumzia: Pepo ya Mwenyezi Mungu, na nimambo ya ghaibu na ni wajibu kwa muislamu kuamini, pia imezungumzia umuhimu wa kumuomba Allah Pepo.