Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 16

Anuwani: Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 16
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Yasini Twaha Hassani
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Kutawadha baada ya kula nyama ya ngamia, pia imezungumzia baadhi ya mambo yanayo tengua udhu.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-03-08
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2797511
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
