Kuonyesha Video ( 301 - 325 Katika jumla ya: 1290 )
2016-04-26
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya muislamu kusafiri siku ya Ijumaa na amebainisha qauli sahihi katika kujuzu kusafiri siku ya Ijumaa.
2016-04-26
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyokua akianza safari na dua aliyokuwa akisoma wakati akitoka nyumbani.
2016-04-26
Mada hii inazungumzia: Adabu za safari katika uislamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuheshimu vipando na kuwahurumia wanyama tunaowatumia katika kubeba mizigo.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Mtihani wakati wa kukata roho, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba mwisho mwema, na kujikinga kwa Allah na adhabu za kaburi.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umauti uko mbele ya kila mtu na hayakimbiliki, pia imeelezea juu ya kujiaandaa kwa matendo mema kabla ya umauti.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuyazuru makaburi ili kujikumbusha na akhera, pia imeelezea kuwa hakuna atakaeishi milele katika hii dunia.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Kujianda na safari ya akhera ni kwa kutoa mali katika njia ya Mwenyezi Mungu, pia imeelezea ubora wa kuwalea mayatima.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kudumu katika kusoma Qur’an tukufu ili kujitengenezea njia nzuri akhera, pia imeelezea ubora wa kuamrisha mema na kukataza maovu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Siku ambayo watu wote watarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia hasara ya wale wanaoabudu kisichokua Mwenyezi Mungu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Duniani wote tunapita na kila mtu ataulizwa kutokana na matendo yake, pia imezungumzia mtu bora mbele ya Allah ni mcha Mungu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuishi kwa kufuata mfumo wa kiislamu na kumuogopa Allah katika siri na bayana, pia imezungumzia hatari ya ubaguzi katika uislamu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kumcha Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia ulazima wa kuchunga mipaka ya Mwenyezi Mungu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kudumu katika kufanya matendo mazuri, pia imezungumzia kujiandaa kutokana na safari ya mwisho (umauti).
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanadamu kuangalia na kuzingatia namna alivyopatikana kutokana na tone la manii.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Hatuwa za kuumbwa mwanadamu na jinsi zinavyo badilika mbegu (manii) mpaka kufikia kuwa kiumbe hai, pia imeelezea, viza vitatu anavyopitia mwadamu.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Asili atokanayo mwanadamu, pia imeelezea malipo ya wenye kumuamini Mwenyezi Mungu bila ya kuzichanganya imani zao na shirki
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Maisha ya Nabii Adam (a.s) baada ya kuondolewa Peponi, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwongozo wa Allah katika maisha.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kuumbwa kwa Mama yetu Hawa (a.s), pia imezungumzia namna Babayetu Adamu na Hawa walivyo shawishiwa na ibilisi peponi.
2016-04-22
Mada hii inazungumzia: Safari ya mwisho na maana yake na kwamba kila safari lazima iwe na mwanzo, pia imeelezea historia fupi ya kuumbwa kwa Nabii Adam.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa tahiyyatu na aina za matamshi ya tahiyyaatu.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa kikao baina ya sijida mbili na maneno yanayosemwa katika kikao hicho.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa Imamu kuchunga haliza za maamuma wake katika swala, pia imezungumzia ubaya wa kuswali haraka bila ya utulivu.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna alivyokuwa akisoma Mtume (s.a.w) katika swala, pia imeelezea kisimamo cha Mtume (s.a.w) katika swala zake.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Mambo yaliyotofautiana katika rakaa ya kwanza na ya pili, pia imezungumzia suala la kutikisa kidole katika tahiyyatu.
2016-04-20
Mada hii inazungumzia: Namna ya kujiepusha na mkao wa mbwa katika sijida, pia imezungumzia sehem nne zinazofaa kuinua mikono ndani ya swala.
Go to the Top