Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 08

Anuwani: Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 08
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Yasini Twaha Hassani
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kuosha uso wakati wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kuosha mikono mpaka katika viwiko viwili.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-03-08
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2797493
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
