Kuonyesha Video ( 876 - 900 Katika jumla ya: 1290 )
2015-12-24
Kaelezea Sheikh katika maneno yake maana ya Uislamu na ubora wake na mazuri yake kwa ufupi.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua aliyomuombea Swahaba Abdi LLahi bin Abbas (r.a) ya kwamba Allah amzidishie elimu, pia imezungumzia umuhimu wa kujifunza kupitia miujiza ya Mtume (s.a.w).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua, pia imezungumzia dua ya Mtume (s.a.w) aliyomuombea Swahaba Nabigha Alja’ad (r.a).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni Dua aliyo muombea Swahaba Abdu Rahman bin A’ufy (r.a) na ikaleta maajabu na natija kubwa sana, pia imeelezaa kwa ufupi kisa cha Sa’ad bin Abi Waqaas.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ni miujiza katika Dua anayoomba au kuombea watu, pia imezungumzia kisa cha Swahaba Anas bin Malik (r.a) na Dua aliyoombewa na Mtume (s.a.w).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni utabiri wake juu ya ushindi katika kikosi alicho kiongoza Ally bin Abi Twalib (r.a), pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) ktk kuponya walio pooza katika maswahaba(r.a).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni miujiza ya kuwaponya watu waliokuwa na maradhi mbali mbali, pia imezungumzia tofauti ya miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w) na Mitume wengine (s.a.w).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ule muujiza wa kujibu maswali juu ya mambo tisa waliyomuuliza Mayahudi, pia imezungumzia miongoni mwa itikadi mbovu za Mayahudi.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akijibu maswali ya Myahudi, pia imezungumzia mambo tisa aliyoulizwa Mtume (s.a.w) na Mayahudi, yaliyokuwa wakati wa Nabii Mussa (a.s).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wa kujibu maswali matatu aliyoulizwa na Abdallah bin Salam, pia imezungumzia namna Malaika Jibril alivyomjia Mtume (s.a.w) na kumpa majibu.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni makundi aliyo onyeshwa katika umati wake, pia imezungumzia miujiza aliyoacha ameisema na inaendelea kutokea mpaka kiyama kitasimama.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameleza muujiza wa mtume kuwa amani itaenea, na itafunguliwa nchi ya Kisraa, na kuenea kwa mali, pia katika miujiza ya mtume ni kauli yake kuwa ukhalifa utakuwa miaka 30 kisha utakuwa ufalme.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameeleza miujiza wa kujuwa watu wa motoni na watu wa peponi, na alisema kuwa uislam utaenea duniani, kisha akawahusia watu waombe mwisho mwema,.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) amebainisha kuwa elimu ya ghaibu ni maalumu kwa Allah na anaweza kuwambia anao wataka katika mitume, kisha ametaja miujiza ya mtume katika mambo ya ghaibu, na amemaliza kwa kutaja aina za miujiza katika mambo ya ghaibu.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameelezea dua ya mtume kwa mama yake na Abuu Hurayra na kusilimu kwake, kisha amezungumzia maajabu ya dua ya Mtume (s.a.w).
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) imezungumzia muujiza wa mtume katika vita vya Hunaini alipo rusha mchanga kila mtu ukampata kila adui ule mchanga wakakimbia, pia katika miujiza ya mtume ni miujiza ya dua, pia amezungumzia mujiza wa kuomba mvua.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ikiwemo na miujiza ya kulindwa na maadui, pia amezungumzia muujiza wa mtume na Abu Jahli pia mujiza wa mtume na Suraqatu Bi Maliki.
2015-12-23
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameanza kuzungumzia nafasi ya ukweli na uaminifu na umuhimu wa kutekeleza ahadi, pia ameeleza kisa cha safari ya nabii Issa na kijana wake, kisha akamalizia kwa kutaja mujiza wa mtume katika nyama yenye sumu aliyo kula.
2015-12-15
Anasema mtoa mada: Naongea na wewe kama mwanadamu, sijali ukiwa Mkristo, Yahudi, Budhi, Hindusi, wala sijali ukiwa unaabudu sanamu, au ukiwa mpagani, mwanamume au mwanamke, Jee kuna siku yoyote ulikwisha wahi kujiuliza maswali haya katika nafsi yako sababu ya kuamini kwako? Jee umekwisha fikiria hata siku moja kwa nini umechagua dini ulionayo?.
2015-12-15
Kataja Sheikh Ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu: Jee Uislamu umeenea kwa upanga? kwa nini Uislamu umeruhusu mke zaidi ya mmoja? Jee Hijabu ni sehemu ya utumwa? kwa nini waisilamu wanachinja kihalali? kisha anajibu kwa dalili na kiakili kwa urefu.

Go to the Top