Muhammad bin Abdul-Wahhab

watu mashuhuri na wenye hadh binafsi Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Muhammad bin Abdul-Wahhab
Maelezo kwa ufupi.: Yeye ni Sheikh Muhammad bin Abdul-Wahhab bin Sulaiman A'ttamiymy, kazaliwa mwaka 1115هـ katika mji wa Uyaina Najdi katika Jazira ya kiarabu, ana vitabu vingi, na wameshuhudia juu yake wanachuoni kwa Elimu na Dini na Msimamo, na amefariki mwaka 1206 هـ Mwenyezi Mungu amrehemu akiwa na myaka 91
Tarehe ya kuongezwa: 2015-02-21
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/814540
Maudhui zinazo ambatana na.. ( 6 )
Go to the Top