Elimu ya dini ndio ukombozi wetu 1

Anuwani: Elimu ya dini ndio ukombozi wetu 1
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya dhil hija kisha ameeleza kuwa Elimu ndio kibainisho cha halali na haramu na ndio sababu ya kumuabudu Allah kwa usahihi, na mtu asie kuwa na elimu ya dini anakuwa kama mfu.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-09-25
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2812381
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
