Namna Ya Kusafisha Ngozi ya Mnyama Aliyekufa (Kudibaghi)

Anuwani: Namna Ya Kusafisha Ngozi ya Mnyama Aliyekufa (Kudibaghi)
Lugha: Kiswahili
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuisafisha (kuidibaghi), pia imezungumzia jinsi na namna ya kuisafisha.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-05-25
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2805494
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
