Umuhimu Wa Imani 07

Anuwani: Umuhimu Wa Imani 07
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Salim Barahiyan
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanya imani izidi ni muislamu kudumu katika kuisoma Qur’an tukufu, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya da’awa kama walivyofanya Maswahaba (r.a.w).
Tarehe ya kuongezwa: 2016-03-09
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2797624
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
