Sherhu Umdatul Ahkam 02

Anuwani: Sherhu Umdatul Ahkam 02
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Twaha Sulaiman Bane
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Maelezo kwa ufupi.: Shekh anazungumzia: Utangulizi wa mtunzi pia amezungumzia Umuhimu wa elim ya hadithi, na maana ya hadithi, na cheo cha Quraan na Sunnah pia amewarudi wenye kuzipinga Hadithi.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-11-13
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2780636
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
