Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 22

Anuwani: Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 22
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Abubakari Shabani Rukonkwa
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Miongoni wa sababu za mtu kuokoka na Moto wa Jahanam, pia imezungumzia umuhimu wa kutoa kilicho bora kwa ajili ya Allah na hatari ya ubakhili na imeelezea kwa ufupi kisa cha watoto wa Nabii Adam (a.s) Qabili na Habili.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-11-11
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2780359
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
