Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Swalehe Ibrahim
Kupitia: Yasini Twaha Hassani
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu zinazo pelekea nyoyo za watu kuwa ngumu, ni watu kuzama ktika maasi kama vile uzinifu, ulevi, kutembea uchi na kuchanganyika wanaume na wanawake, pia imezungumzia sababu za bani Israil kuwa na nyoyo ngumu na kulaaniwa.
2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba ni wale ambao wanaposikia Aya za Allah nyoyo na ngozi zao zina sisimka, pia imeelezea umuhimu wa kusikiliza maneno ya Allah na kuyazingatia
2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba ni wale ambao wanaposikia Aya za Allah nyoyo na ngozi zao zina sisimka, pia imeelezea umuhimu wa kusikiliza maneno ya Allah na kuyazingatia
Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-25
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2770240
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu