Namna Ya Kusherehekea Iddi
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Namna Ya Kusherehekea Iddi
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Abubakari Shabani Rukonkwa
Kupitia: Yasini Twaha Hassani
Maelezo kwa ufupi.: 1- Makala hii inazunguzia:Maana ya Iddi na neema ya Idd ya kiislam na historia yake, faida za Iddi na umuhimu wa kumfuata mtume katika katika kufunga na nakufungua na kusherehekea Iddi.
2- Makala hii inazunguzia:Chanzo cha siku za Iddi, nakwamba Iddi ilikuja kufuta siku kuu za kijinga, ameleza kuwa siku za Iddi zimewekwa kwalengo la kumtukuza Allah.
3- Makala hii inazunguzia:Adabu za kusherehekeya sikukuu za Iddi, ikiwemo kumtii Allah, na kusimamisha swala na kuwatembelea wagonjwa, nakuwafanyia wema majirani .
4- Makala hii inazunguzia: Mambo yanayo takiwa kuachwa katika siku za Iddi, ikiwemo kujiepusha na madhambi, na kujiepusha na miziki, na wanawake kutembea uchi nk.

Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-15
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2769527
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu