Uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu:
Katoa khutba ya ijumaa sheikh Swaleh bin Muhammad Ali-twalib Allah amuhifadhi katika muskiti wa makkah tarehe 17-02-1432, kazungumzia uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu, akataja dalili katika Qurani na sunna, akaelezea kujiripua na adhabu zake siku ya qiyama, akawatahadharisha vijana wa kiislamu kumwaga damu za waislamu au wasio kuwa waislamu bila ya haki.

Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-15
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903158
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::