Muongozo kwa Muislamu Mgeni: Mlango wa Hijja
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Muongozo kwa Muislamu Mgeni: Mlango wa Hijja
Lugha: Kifaransa
Maelezo kwa ufupi.: Hijja kuelekea ktk mji wa Makkah ni moja ktk nguzo tano za Uislamu, nayo ni ibada ndani yake kuna mkusanyiko wa ibada nyingi za kimwili na kimoyo na mali, nilazima kuitekeleza kwa mwenye uwezo wa kimwili na kimali kwa umri mara moja.
Amesema Allah Mtukufu: (Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule Mwenye uwezo njia ya kwenda. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu). Al-Imran: (97).

Tarehe ya kuongezwa: 2015-10-13
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2776269
Maudhui zinazo ambatana na ( 1 )