Kisa cha kuslimu Salmani Al-farisy (r.a).

Anuwani: Kisa cha kuslimu Salmani Al-farisy (r.a).
Lugha: German
Maelezo kwa ufupi.: Hapana shaka yoyote juu ya historia ya swahaba mtukufu Salmani Al-farisy (r.a), kwa mazingatio yaliyomo, kwa sababu katika uhai wake kapata misukosuko sana na tabu kubwa, hadi kufikiwa kunasibishwa na familia ya Mtume (s.a.w), japo yeye ni kutokea Farisy, baada ya kutafuta haki kwa muda mrefu na tabu nzito mwisho kabisa kapata utamu wa kuingia katika hii dini.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-14
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2773413
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
