Kisa cha kuslimu Alojundsa, Muhindi alikuwa hana dini zamani

Anuwani: Kisa cha kuslimu Alojundsa, Muhindi alikuwa hana dini zamani
Lugha: German
Maelezo kwa ufupi.: Mfano ya kiarabu unasema: (Uzuri wa mambo ujuwe kinyume chake) kisa cha huyu mwanamke kapitia daraja tatu Muhindi hanadini, kisha akamuamini Mwenyezi Mungu baadae, akaolewa na Mkristo! ikawa vurugu akaanza kutafuta haki, akaongozwa na Allah katika Uislamu, kwa sasa yupo njia panda: achaguwe Uislamu au abakie na mume?.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-12
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2773206
