Ubora wa maswahaba

Aina za kimaudhui Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Ubora wa maswahaba
Maelezo kwa ufupi.: Miongoni mwa itikadi ya Ahlusunna wal jamaa ni kuwapenda maswahaba wa nabii Muhammad (s.a.w), na kukiri ubora wao wakiwemo walio toka makkah na wale walio kuwepo madina na wale walio kuja baada yao, na katika kurasa hizi kuna mada mabali mbali kwa lugha tofauti tofauti zikielezea ubora wa maswahaba na sifa zao na msimamo wetu juu ya wanao watukana au kuwachukia.
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2769280
Angalia ( 32 )
Maudhui zinazo ambatana na ( 6 )
Go to the Top