Huu ndio Uislamu -3

Anuwani: Huu ndio Uislamu -3
Lugha: Amharic
Maelezo kwa ufupi.: Sehemu ya tatu katika mhadhara wa video kwa lugha ya Amhari kwa anuani: Huu ndio uislamu, na katika muhadhara huu kabainisha mlinganiaji ya kwamba uislamu ni dini iliyo kamilika na kwamba unahimiza usafi, ukawekwa utaratibu wa kutawadha na hukumu maalumu kwa wanawake na mengineyo katika hukumu za kujitwaharisha.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-20
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903349
