Haki ya muislamu
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Haki ya muislamu
Lugha: Bengali
Maelezo kwa ufupi.: Kutoka kwa Abihuraira (r.a), amesema: amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni sita, pakaulizwa nizipi hizo ewe mtume wa Allah? akasema: Utapo kutana nae msalimie, na atapo kuita muitike, na atapo kutaka nasaha mnasihi, na atapo toa chafya akamshukuru Allah muombee dua, na atapo umwa mtembelee, na atapo fariki kamzike.
Hizi ndio haki zamsingi zilizo wekwa na uislamu kwa wafuasi wake, ili waja wa Allah wawe ndugu, makala hii imeelezea kwa ufupi haki hizi na namna ya kuzifanyia kazi katika maisha ya kila siku.
Hizi ndio haki zamsingi zilizo wekwa na uislamu kwa wafuasi wake, ili waja wa Allah wawe ndugu, makala hii imeelezea kwa ufupi haki hizi na namna ya kuzifanyia kazi katika maisha ya kila siku.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-20
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903342
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::