Kutayammam

Aina za kimaudhui Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Kutayammam
Maelezo kwa ufupi.: kutayammam ni Muislamu kutumia udongo badala ya maji kwa sababu maalumu, mtu anachukua mchanga ulio safi kisha anapiga viganja mara (1) kisha anapuliza kisha anapaka usoni mara (1) na juu ya kiganja cha mkono wa kulia kisha kiganja cha mkono wa kushoto mara moja moja.
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/896666
Maudhui zinazo ambatana na ( 1 )
Go to the Top