Faida Ya Malezi Mema

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Faida Ya Malezi Mema
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Yasini Twaha Hassani
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1-Mada hii inazungumzia:Faida ya malezi mema, na amezungumzia kuwa Allah ndio mwenye kutowa watoto, na amezungumzia misingi ya kupata mototo mwema ikiwemo kuchaguwa mke mwema,na Haki za mtoto baada ya kuzaliwa.
2-Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuwasomesha Quraan, na Uhatari wa kutowasomesha watoto dini matokeo yake watoto wanakua hali ya kuwa hawajui yaliyo ya halali wala ya haram mpaka katika ndoa zao.
3-Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa elimu ya dini na Makosa ya wanawake wakati wa nifasi, na mtume kumtuma Muadhi kwenda Yemen ni mfano mwema wa malezi bora.
4-Mada hii inazungumzia: Kuenea kwa dhulma sababu kubwa ni kukosekana malezi mema, pia imezungumzia hatari ya kuvuta sigara na ulevi wa pombe.
5-Mada hii inazungumzia: Njia nne za kumfanya mtoto kuwa mwema, pia imezungumzia maadili na faida alizotufundisha Mtume (S.a.w)
Tarehe ya kuongezwa: 2015-05-02
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/885093
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 5 )
1.
Faida Ya Malezi Mema 1
11.2 MB
: Faida Ya Malezi Mema 1.mp3
2.
Faida Ya Malezi Mema 2
8 MB
: Faida Ya Malezi Mema 2.mp3
3.
Faida Ya Malezi Mema 3
4.1 MB
: Faida Ya Malezi Mema 3.mp3
4.
Faida Ya Malezi Mema 4
11.2 MB
: Faida Ya Malezi Mema 4.mp3
5.
Faida Ya Malezi Mema 5
11.2 MB
: Faida Ya Malezi Mema 5.mp3
Go to the Top